Man in black
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 361
- 378
Habari za jioni JF.
Leo nimeona niwaletee hii naaimini unaweza kupata chochote hapa.
Miongoni mwa malengo ya mtu anapokua kwenye mahusiano ni kutaka kumfaham vizuri yule mwenza wake, kumuelewa nini anapenda nini hapendi hata wakati mwingine ku-anticipate nini anawaza.
Well i think hapo ndo chanzo cha matatizo yanapoanzia, labda niulize why would you know someone that much!??? If you love someone just love them, unataka kumfaham mtu ili umuumbe au!?? Lets not be perfectionists. Binadamu ni kiumbe very sophisticated, yuko na systems nyingi sana na connections na watu wa kila aina, huwezi ukajua kila kitu kuhusu yeye, kujaribu kufanya hivyo mi kutafuta disappointments za bure baadae. Kama umependea macho badi thats it, kama the way she talks thats it, kujifanya wajuaji kumfukunyua mtu hadi tumjue vizuri ndo matatizo yanaanzia hapo.
Deal with what you have.
Nimemaliza, Stay safe
Sent from my iPhone using JamiiForums