Kwenye ishu ya ajira Magufuli anaigiza tu

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Wakuu amani iwe kwenu

Serikali ya awamu ya tano ni moja ya serikali ambayo unaitaji akili ya ziada kuelewa na kutambua sera zake.

Mpaka sasa naweza kusema kuwa kwenye thread ya "Jumanne nyeusi kwa magufuli inakuja" inaweza kuwa na mashiko kwa sasa.

Tamko kwa ajira za walimu.

IMG-20170310-WA0010.jpg


IMG-20170310-WA0011.jpg


Maoni

Kwa walimu wote wa sayansi na hisabati nawashauri kutafuta ajira za kudumu kwenye taasisi za shule binafsi kuliko kupoteza mda na serikali hii. Hakuna ajira yoyote serikalini ,yote ni maigizo tu.

Unyani ni unyani tu

mr mkiki.
 
hatujinyongi hatunywi sumu....CCM mbele kwa mbele tumeipenda wenyewe,chagua letu wenyewe!.

Siku wananchi wa Tanzania wakitambua umuhimu wa siasa katika ulimwengu,yesu atakuwa amerudi
 
hivi leo hii mtu ana vyeti valid kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu ila tu vina majina mawili, et oooh aende mahakaman sijui akafanye nin..., apate majina matatu! jaman eeeh kama ajira hamna wawe wawazi, kuliko kuanza kutufundisha kufoji. [HASHTAG]#hatupendi[/HASHTAG] ubashite
 
Back
Top Bottom