MTAtiro grandson
Member
- Aug 18, 2019
- 80
- 177
Dah pole sana broKiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Duuuuuude!!! Tatizo sio kuoa NESI.....ni kuoa mwanamke uliyemuoa.Kiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Unajua unapoamua kufunga ndoa na mwanamke maana yake Kuna uwezekano ukaishi nae muda mrefu kushinda hata wazazi wako waliokuzaa.Duuuuuude!!! Tatizo sio kuoa NESI.....ni kuoa mwanamke uliyemuoa.
Man up!!!Maaana inaonekana kabisa anakuchukulia poa sana. Yani umejiweka kinyonge mpaka mwenyewe unaniboa. MAN UP!!!
Asante!Dah pole sana bro
Naomba namba yake ya simu nianze kumpa ushauri.Kiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
I agree. Tatizo sio nurse. Tatizo ni mwanamke aliyempata.Duuuuuude!!! Tatizo sio kuoa NESI.....ni kuoa mwanamke uliyemuoa.
Man up!!!Maaana inaonekana kabisa anakuchukulia poa sana. Yani umejiweka kinyonge mpaka mwenyewe unaniboa. MAN UP!!!
You'll be fine. Grief iishe na utamove on. Man, hakuna jipya duniani. Amini wewe sio wa kwa za na wala sio wa mwisho kukupata haya.Asante!
Nimeumia kiukweli!
Sio kwamba ni mnyonge Ila hili tukio naona litaniacha na mtazamo tofauti Sana na Hawa wanawake.
Samtimz naona nisioe Tena kwa usalama wangu maana unaweza kuishia gerezani tu!