Kwenu wanawake/ akina mama

Kuna tofauti gani kati ya roho mbaya na tabia mbaya?
Kuna watu wengine n maroho machafu(ya kishetani ndio yanawaongoza sidhani kama binadamu wa kawaida anaweza kuwa mkatili kiasi hicho.
 
Kizzy Wizzy, Aisee upo sahihi kabisa.

Yule Mwanamke ni MUUAJI KABISA, yaani umfanyie binadamu mwenzio vile kisa elfu 50

Mwanamke katili sana, amewadhalilisha WACHAGA wa Rombo

Sura nzuri ila Roho Mbaya kama shetani



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho za kiuaji zilimwingia. Inshort tuombe Mungu neema zake sisi wanawake
 
Huko alipo anajutia sana maana anaenda kuzeekea jela kisa 50,000, anaacha mtoto ambae bado anahitaji malezi yake uraiani, mtoto atapata shida sana labda ndugu wamuamishe huo mkoa kukwepa kunyanyapaliwa,

angemkata ata mshahara kulipo kutoa roho yake.
 
Yote uliyoyaongea ni kweli tupu, wanawake wengi wako kimya kuhusu lile tukio, vyombo vya habari navyo sio kivile, taasisi zinazotetea haki za akina mama nazo zimemute.

Lile tukio lingefanywa na mwanaume + ushahidi Wa video alafu mtoa mhukumu mwanamama, sipati picha iyo adhabu yake ingekuwaje.
 
Mi nilitegemea nione midahalo, misimamo ya wao kwa wao kukosoana ila wao wapo kimyaa

Hii inaonyesha wao lile tukio wanaliona ni la kawaida sana

Wanawake ni viumbe hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hatari tu. Wanawake ni mashetani. Hata ukimuona mwanamke mpole mtaratibu ndani yake ipo tu roho ya kishetani. Tangu Eva wa Adamu akutane wa kwanza na shetani kule bustanini. Shetani akaona hii ndio nafasi ya kumpata binadamu. Akamuingia akakaa huko. Mwanamke ipo roho ya kishetani ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vema Kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.
Hebu nionyeshe mwanaume aliyelizungumzia hili tukio kwa kukemea nimjue.
.
.
Acheni chuki za kijinga against wanawake. Binadamu yoyote yule anaweza kuwa na roho mbaya. Ina maana hakuna matukia ya kutisha yaliyotendwa na wanaume. Nyie mnajiona malaika sana..kwa lipi?

PUMBAVU ZENU WOTE WENYE MTAZAMO KAMA WAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMEN!
 
Asilimia kubwa ya mauaji katika dunia hii yametendwa na mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanasubiri mwanamke akosee wapate pa kuanzia.
Mauaji ya kinyama na ya kutisha hapa duniani % kubwa yamefanywa na wanaume.

Anionyeshe hata mwanamke mmoja ambae badala ya kulaani kile kitendo alimsifia yule mwanamke then tuanzie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…