Nina kiushauri kidogo kwenu wanaume au wababa. Ukiwa au ambao mko na familia zenu tayari, yaani una mtoto au watoto usiwe baba ambaye ukifika tu nyumbani kila mtu anaingia chumbani.
Umenikumbusha back days nilikuwa na baba mkubwa daah.ni shida akifika tu hom nyumba inakuwa kimya, kila mtu anaenda kulala hata akifika saa kumi na mbili jioni,
Wewe hujui tu, kama baba ana kaukali fulani hivi inaleta ladha sana ndani, heshima inakuwepo, watoto wanafanya majukumu yao pasipo kuwakumbusha, shuleni watoto wanakua hawaende kuchezea ada wanajua umuhimu wa elimu