GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 208
- 44
Binafsi sipendezwi kabisa na huu upuuzi unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii hususan instagram na facebook
Ni nani aniyezifadhiri hizi timu?
mnafanya kazi kwa manufaa ya nani?
Hivi mnajisikiaje kutukanana kila siku kisa hao watu wenu?
ni lini mtaacha huu upuuzi?
kwanini msifanye yanayowahusu?
acheni hiyo tabia mnajidharirisha na mnawashushia heshima wazazi wenu. Igeni kwa nchi za wenzetu hata hawafanyi huu upuuzi
Mwisho wa mwaka mtuletee hesabu ya faida mliyoipata kwa huo upuuzi mnaoufanya