Kwenu NMB mkoa wa Tabora

Kwenu NMB mkoa wa Tabora

AKAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
1,135
Reaction score
1,144
Kwenu NMB tabora.....,

*Kutokana na ongezeko la biashara /mzunguko wa biashara Tabora mjini benki ya NMB imekuwa ikizidiwa na wateja.

Jambo hili limepelekea kucheleweshewa kwa upatikanaji wa huduma....

Mdau Usishangae ukapoteza masaa matatu kusubiri bank statement au foleni ya kadi (kuchukua au kurenew)

Ushauri : ongezeni branch(tawi) lingine ili kuboresha urahisi wa upatikanaji wa huduma... Natanguliza shukran
 
ATM nne zipo sehem moja (benki) sasa mwisho wa mwezi foleni yake ni balaa
 
Back
Top Bottom