Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,465
- 5,437
- Thread starter
-
- #121
Asa c tunatoa mada ili tupate elimu humo humo mkuuWamekutukana kwa sababu wewe ni huna akili.
Kwani ulishindwa nini kuuliza na ungeelimishwa vyema tu??? Mnadanganywa sana kuhusu uislam huko makanisani
Ungekuwa wa maana kama ungeanza kuongea na huyo fundi nguo sio kuja hapaWanajamvi hamjambo
Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee
Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia
Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,
ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa
Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine
Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya
Siluhusu mapovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa huo utani wa ngumi mkuuAkili fupi sana huyu dogo.
Ndio maana suruali zake zinachanika matakoni
Haya bhana nawe nimtazamo wakoMbona unaonekana kama ke??? Kikawaida ke wakisikia ya watu halafu wakaenda kuyahadithia kwengine hatushtuki sana
Duuh! Ilo dharau sasaMaharari unaweza MPA Mke hata mkeka tu sio lazima mil 10 Na ndoa za kifahari Kwenye maukumbi
Elewa maana ya mmuUngekuwa wa maana kama ungeanza kuongea na huyo fundi nguo sio kuja hapa
UKAJUA TU HUYU NI MUISLAMU SI VINGINEVYO..............? kuna MUISLAMU NA UISLAMU. dini inatuambia walipeni wanawake mahali yao. sasa WEKA CHUKI pembeni dhidi ya UISLAMU.Wanajamvi hamjambo
Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee
Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia
Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,
ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa
Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine
Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya
Siluhusu mapovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima nimuweke kitega uchumi kwani si mwanangu. Pia mimi siyo ke mkuu ni maleKudhani wanawake wanauzwa, nikutaarifu tu mwanamke hathaminiwi kwa kutolewa mahari kubwa.
Hata ww ukija kujifungua mtoto wa kike usije muweka kama kitega uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, huu uzi nahisi umenielemea na ndiyo ilivo kwa msema kweliUKAJUA TU HUYU NI MUISLAMU SI VINGINEVYO..............? kuna MUISLAMU NA UISLAMU. dini inatuambia walipeni wanawake mahali yao. sasa WEKA CHUKI pembeni dhidi ya UISLAMU.
MUHUKUMU HUYO KAMA BINAADAMU MAANA HAKUNA MKAMILIFU HATA WEWE PIA HUJAKAMILIKA.