Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,465
- 5,429
Bwana wee hilo povu nitakalo liambulia clipatii pichaSubir waje..
Swadaqta!!!!Mbona unajishtukia, alaf kwa upande wa mahari kwa mujibu wa dini ya Kiislam ni zawadi, haijaalishi laki 2, watu wanaolewa kwa makubaliano ya mahari ya Msahafu tu, kila mtu na uwezo wake, usilazmishe kila mtu atoe milioni wakati taratibu za mahari huzijui kwa mujibu wa dini hio, ungekuja kuuliza kwanza nn maana ya mahari na sio kukurupuka tu apa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza lazima ujue ustaarabu wa kuoa na kutoa mahari umekuja na waislam. Niambie yesu kristo unayemfuata wewe wapi kaoa na wapi katoa mahari. Au kama wewe unaamini kuna kuoa na kutoa mahari niambie unamfuata nani katika imani yako.Wanajamvi hamjambo
Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nilienda kwafundi nguo kushona nguo yangu asa wakati nipo pale kuna mazungumzo yalikua yanaendelea kati ya fundi na Mzee mmoja ambae ckujua jamaa alikua namahusiano gani na yule mzee
Yule fundi alikua anamwambia yule mzee masuala ya huko alikopelaka posa, eti ooh mzee kule ninakotaka kuoa yule binti kanitajia laki2 nimejaribu kumbembeleza lakini katia msimamo, hataki kunipunguzia
Nikajua huyu ni muislamu tuu na sivingine,
ndgu zangu waislamu hebu jaribuni kuwathamini hawa viumbe hata kama mmekuta washazibuliwa
Ikiwa hela ya posa inakushinda jee hiyo ndoa mtaiendeshaje acheni kufuata mkumbo kama hujajipanga si lazima uowe
Yaani mnachofikiria nyinyi ni ngono tuuu na sivingine
Nije upande wa mabinti, ukishaona janaume linalialia hivyo liblock achana nalo, linakuoa kwaajili yangono hilo na cvinge tena linataka uwe mtumwa wake
Narudia tena usiolewe na hilo chovyachovya
Siluhusu mapovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo mbona lipo wazi, Dini ya kiislm msichana anaamuliwa ataje yeye mahariKwa hiyo ulivyosikia hivyo ukahisi ni muislamu,sa ikawaje ukasahau kuhisi kuwa ni dada yako labda watoto wa mjini wanamfuatilia ?
Ushasema India siyo Tanzania, kwanza hata huu utamaduni wanaoenda nao waislm ni wakiarabu kwasababu waarabu wao wanaoana wao kwa wao hivy hawaoni hasara hata wakimpa msichana bure muoaji kwani wanaamini ni ndgWe unaona kama hiyo laki2 ndogo ili binti aolewe wakati wenzake huko india wanatoa posa ili waolewe
Kama analengo lakuolewa pesa mali si kikwazo, hua nawakubali waislamu kwenye swala la mali maana wamelirahisisha sana.
Ukienda kwa familia wanazosali binti anaweza kukwambia ulete kuran tu ndiyo isimame kama mali
Lakini huku kwa wakristo utapewa karatasi hata tatu zilizoorodhesha mahitaji ya kutoa kabla ya mali
Mbona unajishtukia, alaf kwa upande wa mahari kwa mujibu wa dini ya Kiislam ni zawadi, haijaalishi laki 2, watu wanaolewa kwa makubaliano ya mahari ya Msahafu tu, kila mtu na uwezo wake, usilazmishe kila mtu atoe milioni wakati taratibu za mahari huzijui kwa mujibu wa dini hio, ungekuja kuuliza kwanza nn maana ya mahari kwa mujibu wa dini hio na sio kukurupuka tu apa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima tufikirie na makuzi ya msichana ambayo yalipekea mpaka ukamtamaniKuna kitu unakitafuta.kwani ukioa unaenda kucheza rede na mkeo? Hiyo ngono unaifanya ww baada ya ndoa ni tendo la ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo unafikiri hiyo milion 1 yako kama mahari inaweza kufidia makuzi yake??Lazima tufikirie na makuzi ya msichana ambayo yalipekea mpaka ukamtamani
Sent using Jamii Forums mobile app