Hao ndo wazuri.Ukishamkubalia tu fasta waenda mshonea upande wa kitenge kilichobaki wakati unashona gauni.Siku mnatoka unavaa gauni lako nayeye unamwomba avae shati ulilomshonea.Kama ni mume / mchumba wa mtu naaamini siku nzima atazima simu usimpate.