Hatupangiwi...moyo ndo huchagua wa kuwa nae...!Nilikuwa nawaambia kuwa akitokea mwanaume awae yeyote akikutongoza mwangalie kwanza kama kavaa shati la kitenge chonde chonde usimkubalie kwamza jiulize hilo shati atakuwa kashona sare na nani.
Ni hayo tuu nimemaliza.
Hivi moyo wako hauwezi kunichagua wewe Donati?Hatupangiwi...moyo ndo huchagua wa kuwa nae...!
Moyo wangu unaweza kukuchagua ila umewahiwa wewe Daby...Hivi moyo wako hauwezi kunichagua wewe Donati?
Ahsante maana naskia mke mwema anatoka kwa bwana.Moyo wangu unaweza kukuchagua ila umewahiwa wewe Daby...
Ndio tena wakati wa Mungu ndio sahihi...Ahsante maana naskia mke mwema anatoka kwa bwana.
HewaalaNdio tena wakati wa Mungu ndio sahihi...