Hizi relation za kibongo zipo OVER HYPED! EXPECTATIONS KIBAOOOOOOO! Wakati wanaume, wanawake wote magumashi kuendekeza njaa tu mwanzo mwisho.
Kuna huu mfano hai napenda kuwapa wadada, maisha sio lege lege, there is what you want and what is available. Sasa ukiwa illusional utashaaa. Kuna shosti wangu mmoja tulimaliza wote 2010 kasomea economics and geography. Sasa ila back n 2010 bado vigori nikaenda nae kwa uncle wangu BEST program, kapenda mzigo, naye akatangaza njaa zake za kazi.Uncle kafight juu chini kazi ikapatikana, akamuita kumueleza tu kazi ipo LAKINI SIO YA BURE. Uncle anataka mchezo. Kazi ya BEST, kazi kweli. Akamuita mpaka kwenye interview sijui utumishi sio wao wenyewe. Bahati mbaya hakufanya vizuri, ila kazi anaitaka. Uncle akaniambi kwa recomendation ya wazito kadhaa kuwa alikuwa hapa field na maksi zake kazi anapata ila mi sio msengerema huo msaada sitoi bure.
Akaja kuniomba ushauri, she is engaged blah blah blah blah! Holier than the pope. Nikamwambia we bwe.ge sikiliza kama unataka ile kazi go an extra mile, maisha vitu havipo so black or so white, mie ndugu yake hajanitafutia kazi, wunafikiri atajichosha kukufanyia propaganda bure? thubutuuuuuuu! Ushaona your fate has forsaken you, hio kazi sio haki yako kwa maamuzi ya heavens, kukuweka wewe ni kudhulumu mtu alitakiwa apate halali, kazi hio haiwezi kuifanya bure. Fanya shida zako zikupe ujasiri ucheze hili mishe kama pele, pale ukiingia umeingiaaa. Kajifikiria kasema NO! Basi akawa kakosa ile kazi.
Juzi hapa 4 yrs later ananiuliza uncle yupo, naomba namba yake. Nipo tayari kwa ile mishe. Nikamwambia kafie mbele, ushachuja umekuwa scraper uncle hakutaki tena. Married for 3 yrs manake 366days * 3 unapigwa P tu day n night, umezaa, unafikiri networth yako sawa na when you were 21? The offer has expired since a long time. You should have taken the chance when you had it. Hamna nina shidaaa, blah blah blah blah! Namba mwenyewe alikataa nisimpe.
MY POINT IS IN LIFE TO ACCOMPLISH SOME THINGS THERE ARE LOTS OF SACRIFICES.