Kwani Mkuu zina hitajika "I" ngapi ili kingereza kionekane kuwa ni cha chuo na si cha form 1,
Umenichekesha sana, polisi kituo gani ?
KiswahiliTafsida tafadhali mkuu
Kabla ya wewe?
Safi sana mkuu kwa ufafanuzi.Ona hizi hapa nyingine;kifusi boy,
Siku hizi utaratibu ni kwamba wale vijana wa Suma JKT wa getini wanapaswa kuzikusanya hizo barua na kuzihifadhi sehemu salama na sio kila mwenye barua kuondoka nayo.
Zipo mtaani kama mifuko/vifungashio vya maandazi.Ni hapo jalalani?