Abdul Nondo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 525
- 2,951
Nilifikr umeandika kitu cha maana kumbe....jina la tatu kutoka mwisho ni FOCUS MTOKA Namba ya kidato cha nne ni S0387.0044.1998
Hii ina maana amemaliza kidato cha nne mwaka 1998, twende pamoja Mara nyingi anayemaliza kidato cha nne huwa na miaka 15 (let's assume miaka 15), yeye amemaliza 1998 ,chukua 1998 toa (-) umri wake wa miaka 15 unapata=1983 amezaliwa mwaka huo 1983, chukua mwaka huu 2018 toa (-)1983 kupata umri wake wa kuzaliwa unapata 35 ana miaka 35! ,na sitaki kuamini kama huyu ni mwanafunzi wa shahada ya udhamivu ,sababu nimeuliza sehemu naambiwa majina yaliyotoka Batch hii ni ya Undergraduates (shahada). Sasa hofu yangu inaanzia hapa .
Sera ya Bodi ni kuwa anayepata mkopo kama ni muombaji mpya lazima awe amemaliza kidato cha sita au diploma miaka mitatu iliyopita yaani 2016 ,soma muongozo wa bodi wa 2018/2019 ,3.3 "vigezo na stahiki nyingine "(kipengele 11).
Sasa aliyemaliza kidato cha nne 1998,kidato cha sita amemaliza mwaka gani ? 2016/2017 au 2018 kwa namna gani ?
Maana lengo la kuweka hayo masharti ni kuzuia mtu aliyekaa nyumbani na kuingia katika kujishughulisha baadaye ndio akaenda chuo Maana yake huyo anaweza kujilipia ,ndio lengo la masharti hayo ,sasa huyo aliyemaliza kidato cha nne 1998 ,inakuwaje?
Au aliahirisha mwaka ? Sasa amelipa ile 25% ndio mmempa tena ,ok kama kidato cha nne alimaliza 1998 ,kidato cha tano ni 1999 na 2000 aliingia kidato cha sita ,ina maana 2001 alianza chuo mkampa mkopo ,akaahirisha 2001 akakaa miaka 18 leo ndio anataka kurudi chuo, kwamba ndio ameomba tena baada ya kulipa hiyo 25% ,hii haiwezekani ,huwezi kukaa miaka 18 alafu ndio urudi chuo ,pia bodi ya mikopo Rasmi imeanza Julai 2005 sio Rahisi kuwa na kumbukumbu ya aliye ahirisha masomo Nyuma ya 2005 ,apewe mkopo tena.
Yaani hii haiwezekani swali amepataje mkopo aliyemaliza kidato cha nne mwaka 1998, kabla ya wanafunzi waliochuo leo kuanza hata shule ya msingi ?
Kuna wanafunzi wengi ,mayatima,wasio na uwezo hukosa mikopo na huishia kuacha chuo ,au kuhairisha na wengine huishi maisha ya tabu chuoni kwa kukosa mkopo ila Baba mwenye ndevu zake miaka 35 anapewa mkopo ,Aisee !
Kuna haja Bodi ya mikopo kuliangalia vizuri hili kwani linaziba nafasi za wenye uhitaji kukosa mkopo au litolewe ufafanuzi sababu linatoa picha tofauti kwa wanafunzi kuwa labda bodi ya mikopo kuna urasimu !
View attachment 901952
Dogo kajipange upya.mkopo haupo kwa ajili ya wazee,vijana au watoto.mkopo upo kwa ajili ya WATANZANIA na ukiendelea na hzi hoja nyepesi hadi mahakamani hyo kesi ya kuwatoroka wenzio kwenda kushika "uno la sotojo" iringa itakushindajina la tatu kutoka mwisho ni FOCUS MTOKA Namba ya kidato cha nne ni S0387.0044.1998
Hii ina maana amemaliza kidato cha nne mwaka 1998, twende pamoja Mara nyingi anayemaliza kidato cha nne huwa na miaka 15 (let's assume miaka 15), yeye amemaliza 1998 ,chukua 1998 toa (-) umri wake wa miaka 15 unapata=1983 amezaliwa mwaka huo 1983, chukua mwaka huu 2018 toa (-)1983 kupata umri wake wa kuzaliwa unapata 35 ana miaka 35! ,na sitaki kuamini kama huyu ni mwanafunzi wa shahada ya udhamivu ,sababu nimeuliza sehemu naambiwa majina yaliyotoka Batch hii ni ya Undergraduates (shahada). Sasa hofu yangu inaanzia hapa .
Sera ya Bodi ni kuwa anayepata mkopo kama ni muombaji mpya lazima awe amemaliza kidato cha sita au diploma miaka mitatu iliyopita yaani 2016 ,soma muongozo wa bodi wa 2018/2019 ,3.3 "vigezo na stahiki nyingine "(kipengele 11).
Sasa aliyemaliza kidato cha nne 1998,kidato cha sita amemaliza mwaka gani ? 2016/2017 au 2018 kwa namna gani ?
Maana lengo la kuweka hayo masharti ni kuzuia mtu aliyekaa nyumbani na kuingia katika kujishughulisha baadaye ndio akaenda chuo Maana yake huyo anaweza kujilipia ,ndio lengo la masharti hayo ,sasa huyo aliyemaliza kidato cha nne 1998 ,inakuwaje?
Au aliahirisha mwaka ? Sasa amelipa ile 25% ndio mmempa tena ,ok kama kidato cha nne alimaliza 1998 ,kidato cha tano ni 1999 na 2000 aliingia kidato cha sita ,ina maana 2001 alianza chuo mkampa mkopo ,akaahirisha 2001 akakaa miaka 18 leo ndio anataka kurudi chuo, kwamba ndio ameomba tena baada ya kulipa hiyo 25% ,hii haiwezekani ,huwezi kukaa miaka 18 alafu ndio urudi chuo ,pia bodi ya mikopo Rasmi imeanza Julai 2005 sio Rahisi kuwa na kumbukumbu ya aliye ahirisha masomo Nyuma ya 2005 ,apewe mkopo tena.
Yaani hii haiwezekani swali amepataje mkopo aliyemaliza kidato cha nne mwaka 1998, kabla ya wanafunzi waliochuo leo kuanza hata shule ya msingi ?
Kuna wanafunzi wengi ,mayatima,wasio na uwezo hukosa mikopo na huishia kuacha chuo ,au kuhairisha na wengine huishi maisha ya tabu chuoni kwa kukosa mkopo ila Baba mwenye ndevu zake miaka 35 anapewa mkopo ,Aisee !
Kuna haja Bodi ya mikopo kuliangalia vizuri hili kwani linaziba nafasi za wenye uhitaji kukosa mkopo au litolewe ufafanuzi sababu linatoa picha tofauti kwa wanafunzi kuwa labda bodi ya mikopo kuna urasimu !
View attachment 901952
Laiti hii pesa ingekuwa inatolewa bure cjui ingekuwaje!!jina la tatu kutoka mwisho ni FOCUS MTOKA Namba ya kidato cha nne ni S0387.0044.1998

Hamjamuelewa nondokabla haujatoa maelezo yako tumia akili zako za kuzaliwa kwanza sio huu upupu ulioleta hapa sasa soma hapa
kama mtu amemaliza form four mwaka 1998 akapata divisio 0 au four na kuamua kurudia mtihani kama private kadidate mwaka 2015 na ukapata division one na kuamua kujiunga form six shule private au kama private cadidate na kumaliza mwaka 2018 na kupata division one huyu mtu kwa mtazamo wako anamiaka 35 haya sasa kaomba chuo muhimbili udaktari akapata kwanini mkopo akose, bodi ya mkopo unapoomba mkopo majina yanatoka kwa namba za form four za kwanza kabisa ulipofanya mtihan lakini haimaanishi umepata chuo au mkopo kwa kigezo cha kumaliza form four mwaka 1998 tumia akili ukileta sheria ya bodi ya kumaliza form four miaka mitatu nyuma huyu sheria haimfungi maana kapata chuo kwa kigezo cha form four ya mwaka 2015 na form six ya mwaka 2018 na sio iyo ya mwaka 1998 yumo ndani ya sheria na anakizi vigezo
Mwisho kama ulisoma kwa mteremko bila kureset ndio maana hii huwezi kuijua