Kwenda Same: Kwanini ulipie nauli ya kwenda Arusha

Panda gari za Same, December route ya Moshi Arusha hawakati ticket za kushuka njiani.

Kuna Mwaka December nilikuwa naenda Moshi mabasi yote yamejaa ilibidi nikate ticket mabasi ya Nairobi Kwa nauli ya Nairobi lakini nilishuka Moshi.
Sema uliteseka sana, wewe ungeenda tu Nairobi wakati wa kurudi ungeshukia unaposhukia kuokoa na nauli yako
 
Wachana na mabus kodi Bolt,uber,indrive,faras au paisha wale wanahesabu exactly km.
 
Najua kuna Coaster vilevile, issue kwa nini hakuna nauli ya Same!
Same bado ni wilaya iliyomezwa na wilaya ya Moshi, kwahiyo Moshi inatumika kama base point kwa basi za mikoani, hata Mwanza sijawahi kusikia nauli ya Moshi Misungwi ikawa tofauti na Moshi Nyamagana/Nyegezi
 
Same bado ni wilaya iliyomezwa na wilaya ya Moshi, kwahiyo Moshi inatumika kama base point kwa basi za mikoani, hata Mwanza sijawahi kusikia nauli ya Moshi Misungwi ikawa tofauti na Moshi Nyamagana/Nyegezi
Kwahiyo kwa mantiki yako Korogwe au Muheza, n.k. hakuna nauli , nilifikiri zinapangwa kwa kilomita.
 
I hate when someone changes the headline. Alamsiki!
 
Inashangaza Sana maana hata kutoka Mwanza Hadi Moshi nauli ni sawa na ya mtu anayeshukia manyara.
 
Same ni Moshi,Nauli ambayo wanaweza kukutoza ingwa nao ni wizi ni nauli ya Moshi,Hta hivyo nafikiri upangaji wa Nauli za mabasi ya Masafa hauzingatii kituo kituo bali unazingati Ruti za Basi.Mfano Mtu anayetoka Dar kwenda Tanga yapo mabasi Direct you Route hiyo.Haya mabasi ya Ruti ndefu hesabu zao zinapangwa kwa kuzingatia Ruti kwa Ruti na sio kituo kituo.Ila Mamla inagalie kama kuna namna wanaweza fanya
 
Sisi wengine tukishangaa ndio wanakushangaa zaidi wanakuuliza umetokea wapi yaani nauli ya Same ni sawa na Moshi mpaka Arusha kwa kutokea Daslm...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…