Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Kweli 2013 inakaribia ku rest in peace.
Babuuu kumbe na wewe unakesha humu
Nilifikiri utaanza na Mwaaa!!!
Babu yako siku hizi nabeba maboksi huku Uturuki.
Heee bibi atanifinya mie,Aaah basi sawa
Unakaribishwa sana ili mradi uwe na ng'ombe tuNamna hiyo safi sana. Inabidi na mimi niende Usukumani nikaopue Mtoto wa kisukuma!
Hahahahaha mimi mbona nilishaolewa kitambo sana karibu napata wajukuu. Kwa hiyo haya maswali yako not applicable.Nianze na wewe kwanza. Msukuma wa wapi wewe? Upo dar au Usukumani?!!