Kweli wivu ukizidi ni sheeda!!

Kweli wivu ukizidi ni sheeda!!

kerspesky

Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
10
Reaction score
1
Habari zenu wa jf na MMU wenzangu??
Natumai nyote mko poa na harakati za hapa na pale naombeni tujadili hili swala la wanawake wengi ambalo linaweza kusababisha mapenzi kuvunjika
Binafsi nipo na uhusiano na bint fulani na kabla kumtongoza aliniambia yeye ndio alinipenda mwanzo kabla ya mm kuanza kumpenda ila kitu ambacho hatuelewani ana wivu wa kupitiliza kwa mfano
1) Siku kanitumia ujumbe ila nlikuw na pirika na sikuangalia simu kabbisa ujumbe uliofata ni matusi ( sawa ucjib msg yangu ila sijakupa ruhusa ya kuongea na mwanamke yyte huko au kama huwezi hivyo mm na ww basi
2) Siku nyengin kanitumia ujumbe ( mpigie simu Ant umwambie kadha..................................... . mm cna salio nikamwambia basi nitakutumia vocha uongee nae ww mwenyewe kaja juu kisa eti simpendi na kaninunia kabbissa hata simu yangu hapokei naomben ushauri wana jf wenzangu maana mpenzi wangu anapenda kulalamika kuwa simpendi na anapenda kuninunia kabissa wakati mm nampenda sana tu!!!
 
WewE Si KaspErsky uNashIndwaje TatIzO doGo KamA hilI kuLiTaTuAa. Sio UnaJiiTa JiNa NgaNgaRi HalAfu KuTatUa mAtaTizo Ni SifuRi bIn YAi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom