Kweli Watanzania wameichoka CCM

Mmawia ukiochangi hoja usiseme watu sema wewe na usitusemee mkuu!
 
Nimetumiwa hii picha nikacheka sana

Mkuu Elli wewe umecheka mimi baada ya kuona post yako hii nimechukua hatua zaidi. Nimewatumia tatu zaidi ya mia picha hiyo tena wale ambao naamini ukombozi wa fikra bado haujawaingia vizuri kichwani.
 
Last edited by a moderator:
walimpa jibu gani mdau? maana ameuliza swali zuri sanaaaa
 
​

Point sanaa iyo...
Nimekumbuka Mh Lema katika hotuba zake aliwai kusema ikitokea leo Mungu aka update amri zake kumi itamlazimu aongeze ya kumi na moja na yo itakuwa USIICHAGUE CCM
 

Hahaaaa

Mkuu huyo mtoto ataichukia ccm maisha yake yoteee
 
Sisi wengine hatukuona hicho kipindi.Sasa walijibu nini.
 
Wakishindwa ukawa watajipnga tena na nchi itaenda. Ila wakishindwa ccm sijui itakuwaje maana hawajazoea kushindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…