Kweli watanzania hatuna ufuatiliaji

Kweli watanzania hatuna ufuatiliaji

babajohn

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
44
Reaction score
19
Hivi habari ya Siti Mtemvu na kosa la kughushi umri imefia wapi? Nilidhani angechukuliwa hatua za kisheria kama wahalifu wengine!
 
Kuna mikono ya wanene..... Nasikia hadi mkulu yumo. Halafu bondo mtoto wa rais ni rais na Mtoto wa mbunge ni mbunge pia hawezi kushitakiwa kwa matendo yoyote atakayofanya akiwa hai
 
Tz kuna kitu knaitwa roho ya kurudi nyuma huwa Mambo hayafiki mwisho linazaliwa lingine (Yaani funika kombe mwanaharamu apite)
 
Mbuzi wa mfalme akila Mihogo ya mfalme hakuna kesi! angekuwa mbuzi wa MABALA THE FARM! no name, no background and history! mngesikia mwisho wake..
 
Back
Top Bottom