Kweli wanawake ni noma, you cannot trade together

Kweli wanawake ni noma, you cannot trade together

Hiyo laki 5 aliokuja nayo kwa ajili ya matofali uliichukua wewe au alibaki nayo mwenyewe

hiyo ya kwake bana, mi sikuwepo wakati anaifanyia kazi, na ishu yangu ilikuwa kiwanja baaaaaaaaasssssss
 
Habari ya blue Monday wapendwa katika Bwana, hope weekend ilikuwa poa, japo mjadala wa posho na matokeo ya F4 unaendelea badala ya rasimu ya katiba mpya ambayo ndo mstakabali wa nchi! back to the topic

nimekuwa nikihangaika kupata kiwanja mjini moshi bana for quite long, kila "kakiwanja" kakipatikana naambiwa 8, 6, minimum kabisa 5m ukubwa sasa utacheka ukijenga room ngapi tu hata shimo la taka huwezi chimba

sasa nishawahi kuwa na mchuchu wa kichaga bana, nikamuuzia aidia, haaa si akakumbuka kuna x wake mwingine - baada yangu - ana viwanja kama vitatu na alishaskia anauza kimoja, so ikambidid amrudie bana, jamaa bado anamind mzigo, dogo kumcheki mchuchu akapagawa, mchuchu kamwambie leo nimekuja kibiashara zaidi, natafuta uwanja nijenge

Mwanawane, fasta dogo kakurupika, nipe 6m ninakiwanja kizuri na kiko surveyed (25 kwa 30). Mchuchu kalegeza jicho kidogo, na kuongea kimahaba, mi nina 2m nyingine niongezee mwenyewe.

ha ha ha ha, guess kilichotokea,
Jamaa fasta, we lete hiyo hela hakuna shida me na wewe.

Sikulaza damu hapo, akaitwa m/kiti, na mashahidi na nini, business likafanyika.

Jioni jamaa akamualika demu mambuo, kufika demu akasema hapa magumashi, wakahamia chumbani wapi kule sijui, heee dem si karudi na laki 5 kabisa ya kumwaga mawe na matofali!

Nikasema kweli papuchi so, cha msingi nimepata kiwanja we endelea na starehe zako inaonekana jamaa alikuwa bado anakupenda,
ni hayo tu. msiwe mnaachana na wapenzi wenu kwa mangumi na mateke na kununiana, kama mlianza kwa kukubaliana achaneni kwa kukubaliana, hata mkikutana mnasaidiana.
Wewe ndo bwe.ge kabisa yaan unamtoa demu wako sadaka kisa kiwanja na unaleta upuuzi wako jukwaani.Sasa na mimi ninacho ila nataka 065 njoo na utarudi na mill 1 na kiwanja bure
 
nilikuwa site bana, nimerudi sasa na majibu ya maswali mlonayo.
nimetoka kuweka mafundi wajenge fensi kwanza maana nimeambiwa viwanja vya huku bila kuweka fensi au "masale" sijui "masala" - anyway kuna majani flani hivi wanapanda - utakuta kiwanja kimepungua kila kukicha.

Binafsi siyo mchaga lakini kwa sasa napiga mzigo huku na huu ni mwaka kama wa 3 hivi so wanaosema wachaga wezi, matapeli sijui na nini tena siwezi comment on that. Ila naweza sema ni wabaguzi tu coz wanatuita "chasaka" i hate this, and if anyway call me that, or i hear you call me that, ntakung'ata makalio tu
 
Wewe ndo bwe.ge kabisa yaan unamtoa demu wako sadaka kisa kiwanja na unaleta upuuzi wako jukwaani.Sasa na mimi ninacho ila nataka 065 njoo na utarudi na mill 1 na kiwanja bure

dah mkuu pakaya, kwanza nikushukuru kwa kunionea uchungu kiasi hicho, lakini naona hukunisoma vyema. ntarudia kidogo ili uelewe
huyo demu nilikuwa naye kitambo tukaachana, then baada ya mi kusepa ndo akaja huyu aliyeuza kiwanja akawa naye, kisha naye wakaachana. kwa sasa demu anaishi arusha, anamaisha yake. so kwangu mimi we are no longer lovers or sexual friends/partners if you like, but we are just close friends. siwezi hata kusema nikumbushie coz sinaga hizo, nikisepa nimesepa
next time usitumie lugha kwubwa kubwa, siyo jambo jema na Mungu hapendi
 
Hapo sawa nimekuelewa nilidhan bado unaye na umempeleka kwa jamaa kwa sababu ya kiwanja kumbe ni X wako poa hakuna noma mkuu
 
Swali langu ni je wakati wa hio transaction na wewe ulikuepo? Coz unasema kimeandikwa kwa jina lako..Kwan si ulisema Demu kamdanganya mshkaj kua anatak Kiwanja
 
mmmhh... sijui ni uchovu wa jua la tandale kwa tumbo??

sijaelewa....!
 
hiyo ya kwake bana, mi sikuwepo wakati anaifanyia kazi, na ishu yangu ilikuwa kiwanja baaaaaaaaasssssss

kiwanja kwa 1.5 m. Kijana umeingizwa mjini. Jiandae na Heart Attack.
 
nilikuwa site bana, nimerudi sasa na majibu ya maswali mlonayo.
nimetoka kuweka mafundi wajenge fensi kwanza maana nimeambiwa viwanja vya huku bila kuweka fensi au "masale" sijui "masala" - anyway kuna majani flani hivi wanapanda - utakuta kiwanja kimepungua kila kukicha.

Binafsi siyo mchaga lakini kwa sasa napiga mzigo huku na huu ni mwaka kama wa 3 hivi so wanaosema wachaga wezi, matapeli sijui na nini tena siwezi comment on that. Ila naweza sema ni wabaguzi tu coz wanatuita "chasaka" i hate this, and if anyway call me that, or i hear you call me that, ntakung'ata makalio tu

inaelekea unayanyonyaga sana.... using'ate laki sio vizuri... chyasaka.
 
Ukiona mtu anaachana na mpenzi wake kwa matusi,mangumi na mateke ujue huyo hajakomaa kiakili.na anaongozwa zaidi na hasira
 
Back
Top Bottom