Kweli wanawake ni noma, you cannot trade together

Kweli wanawake ni noma, you cannot trade together

bhikola

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,133
Reaction score
1,668
Habari ya blue Monday wapendwa katika Bwana, hope weekend ilikuwa poa, japo mjadala wa posho na matokeo ya F4 unaendelea badala ya rasimu ya katiba mpya ambayo ndo mstakabali wa nchi! back to the topic

nimekuwa nikihangaika kupata kiwanja mjini moshi bana for quite long, kila "kakiwanja" kakipatikana naambiwa 8, 6, minimum kabisa 5m ukubwa sasa utacheka ukijenga room ngapi tu hata shimo la taka huwezi chimba

sasa nishawahi kuwa na mchuchu wa kichaga bana, nikamuuzia aidia, haaa si akakumbuka kuna x wake mwingine - baada yangu - ana viwanja kama vitatu na alishaskia anauza kimoja, so ikambidid amrudie bana, jamaa bado anamind mzigo, dogo kumcheki mchuchu akapagawa, mchuchu kamwambie leo nimekuja kibiashara zaidi, natafuta uwanja nijenge

Mwanawane, fasta dogo kakurupika, nipe 6m ninakiwanja kizuri na kiko surveyed (25 kwa 30). Mchuchu kalegeza jicho kidogo, na kuongea kimahaba, mi nina 2m nyingine niongezee mwenyewe.

ha ha ha ha, guess kilichotokea,
Jamaa fasta, we lete hiyo hela hakuna shida me na wewe.

Sikulaza damu hapo, akaitwa m/kiti, na mashahidi na nini, business likafanyika.

Jioni jamaa akamualika demu mambuo, kufika demu akasema hapa magumashi, wakahamia chumbani wapi kule sijui, heee dem si karudi na laki 5 kabisa ya kumwaga mawe na matofali!

Nikasema kweli papuchi so, cha msingi nimepata kiwanja we endelea na starehe zako inaonekana jamaa alikuwa bado anakupenda,
ni hayo tu. msiwe mnaachana na wapenzi wenu kwa mangumi na mateke na kununiana, kama mlianza kwa kukubaliana achaneni kwa kukubaliana, hata mkikutana mnasaidiana.
 
nyoosha maelezo, jina la mnunuzi wa kiwanja limeandikwa la kwako au la uyo mchuchu wako,usije ukawa unashangilia akati ushatolewa povu
 
nyoosha maelezo, jina la mnunuzi wa kiwanja limeandikwa la kwako au la uyo mchuchu wako,usije ukawa unashangilia akati ushatolewa povu

Kweli mkuu wachaga hawa siwaamini kabisaaaaaaa..................
 
Hiyo laki 5 aliokuja nayo kwa ajili ya matofali uliichukua wewe au alibaki nayo mwenyewe
 
angalia kijana kumbuka unafanya biashara na mchaga a.k.a matapeli
 
haha jamaa atakua hospitali sa ivi anapigwa drip kwanza,nyi endeleeni tu kumsubiri aje awape majibu,mimi nilikuepo. chezea wajanja wa town
 
cha msing na sekondar jina la kiwanja limeandikwa nan? Lako au la bint?
 
hata nyie nonoooooooooooma kwelilikweli

Habari ya blue Monday wapendwa katika Bwana, hope weekend ilikuwa poa, japo mjadala wa posho na matokeo ya F4 unaendelea badala ya rasimu ya katiba mpya ambayo ndo mstakabali wa nchi!!!! back to the topic

nimekuwa nikihangaika kupata kiwanja mjini moshi bana for quite long, kila "kakiwanja" kakipatikana naambiwa 8, 6, minimum kabisa 5m ukubwa sasa utacheka ukijenga room ngapi tu hata shimo la taka huwezi chimba

sasa nishawahi kuwa na mchuchu wa kichaga bana, nikamuuzia aidia, haaa si akakumbuka kuna x wake mwingine - baada yangu - ana viwanja kama vitatu na alishaskia anauza kimoja, so ikambidid amrudie bana, jamaa bado anamind mzigo, dogo kumcheki mchuchu akapagawa, mchuchu kamwambie leo nimekuja kibiashara zaidi, natafuta uwanja nijenge
mwanawane, fasta dogo kakurupika, nipe 6m ninakiwanja kizuri na kiko surveyed (25 kwa 30). Mchuchu kalegeza jicho kidogo, na kuongea kimahaba, mi nina 2m nyingine niongezee mwenyewe....

ha ha ha ha, guess kilichotokea,
Jamaa fasta, we lete hiyo hela hakuna shida me na wewe.
Sikulaza damu hapo, akaitwa m/kiti, na mashahidi na nini, business likafanyika.
Jioni jamaa akamualika demu mambuo, kufika demu akasema hapa magumashi, wakahamia chumbani wapi kule sijui, heee dem si karudi na laki 5 kabisa ya kumwaga mawe na matofali!!!!!
nikasema kweli papuchi soooo, cha msingi nimepata kiwanja we endelea na starehe zako inaonekana jamaa alikuwa bado anakupenda,
ni hayo tu. msiwe mnaachana na wapenzi wenu kwa mangumi na mateke na kununiana, kama mlianza kwa kukubaliana achaneni kwa kukubaliana, hata mkikutana mnasaidiana
 
angalia kijana kumbuka unafanya biashara na mchaga a.k.a matapeli
Leo naona baada ya akili ndogo kuongoza kubwa kila jukwaa uko na wachaga.....Kama umetendwa mchukie aliyekuumiza siye kuharibu staha za watu...kinguchiroooooooooz
 
ahahahaha
wachaga tapeli
cc: wachaga fulani
 
nyoosha maelezo, jina la mnunuzi wa kiwanja limeandikwa la kwako au la uyo mchuchu wako,usije ukawa unashangilia akati ushatolewa povu

Dah bosi hapo tena?!!!!
limeandikwa la kwangu mkuu!! usimwambie mwanamke unamuamini hata kama unamtania
 
Back
Top Bottom