Stor Ni Yakutunga Hii, Labda Kwakua Unawacmulia Wanakjj Wenzio Lkn Saa 5 Usiku Ni Mapema Sana Kwa Dar Hasa Tabata. Watu Wanatoka Harucn Na Sendoff Saa 6 Had 7 Ucku Hiyo Ndo Junction Kipenz Ya Watu Wa Ubungo, Tabata Na Wanaoenda Buguruni. Af Unasema Kaja Kjana Mvuta Bangi Kalegea, Wavuta Bangi Wanalegeaga? Ww Wa Kjj Gan? Wala Ucje Ukasema Mateja, Pale Hapana Kambi Ya Mateja. Km Alivaa Hereni Moja Ckio La Kushoto Huyo Kwa Town Ni Punga Au *****. Ss Mtapgana Na machoko Watu C Watadhan Mmewala Viboga Af Mmekataa Kuwalipa! Maranyingi Waharifu Wa Maeneo Flan Hawatokag Mbali Na Ukute Wazaz Wao Ndo Viongoz Wa Mitaa, Mf.Magomen, Manzese, Tandika Likikukuta Hlo Lako. Madanguro Ya Mwananyamara Yapo Karibu Na Ofc Za Serikali Za Mtaa Na Hosptal Ya Mwananyamala, Na Kwingine Vibanda Vya Gongo Vpo Karibu Na Vituo Vya Police Na Maisha Yanaenda. Ndo Maana Ya Mjini Kila Mtu Anakufa Kvyake Hakuna Kuzoeana, Ujamaa Wa Nyerere Umebaki Mikoani. Mngetangaza Dau Watu Wangekuja Kuwasaidia.