Kweli wadada hiii ni sahihi?????????

Zinaumbua hizi thread...........hebu mods futa hizo contacts huenda mwenyewe hana habari
 
Pole sana Mkuu! Pole sana, Mungu akupe Nguvu kuhimili machungu hayo.

Humo kwenye reds binafsi sijawahi kusikia wala kuona, wana Jf mnisaidie, naona kama mleta thread ananipoteza vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…