Wakati naanza maisha kuna jamaa kazini tena juniors kwangu walikua wananitishia maisha sana "nakaa kwangu nimejenga" siku nimewatembelea makwao ndio nikaona haya maisha usijipe pressure zisizo na msingi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jamaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupi,erick auLeo muda fulani nilichepuka niende kununua materials ya ujenzi pale Kamaka. Kwa wasiojua, Kamaka ni kampun ya Warusi wanauza vifaa vya ujenzi..Ni duka kubwa
Sasa wakati nimemaliza kila kitu wanapakia mzigo, tukawa tunapiga stori ya yule mtunza stoo pale, yupo mchafu mchafu hivi..Mimi hapo nimetoka kazini niko nadhifu vibaya mno sitaki hata vumbi linirukie..
Sasa badae wakati naondoka nikawa napiga stori na walionibebea mzigo kwenye gari wakawa wanasema hili gari(canter) ni la yule dogo pale. Nikauliza dogo gani wakasema yule storekeeper pale..
Daaah! nduo stori zikaanza hapo kuwa dogo ni darasa la saba tuu na mshahara wake ni milioni 2.8, ana hizo 3 za kubeba mizigo na mambo mengine kibao. Wakawa wanasema Mrusi haajiri wenye elimu kubwa kwenye vitengo hivyo, akasema wapo wengi tu humu darasa la saba
Akanambia unamwona mlinzi yule ana nyumba 3. Nikasema haiwezekan, akasema subiri akamwita akamwambia oya nyumba ya Kivule ushamaliza, akasema ipo kwenye madirisha. Basi poa nataka panga nyumbani kwako kabsa, ile nyumba ya ....,akamwambia,ya ngap sasa hiv hyo kiutan,akasema mungu ni mwema ya 3.
Nkasema ama kweli....
Uzi tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo alizingua snaaaWakati naanza maisha kuna jamaa kazini tena juniors kwangu walikua wananitishia maisha sana "nakaa kwangu nimejenga" siku nimewatembelea makwao ndio nikaona haya maisha usijipe pressure zisizo na msingi!
Unakuta mtu nyumba madirisha ameziba mabati makuukuu,chumba chenye mlango ni chake tu,choo mlango gunia,umeme na maji hana uhakika wa kupata leo wala kesho,ila anakutishia kwa vile umepanga
Sent using Jamii Forums mobile app
No comment...Nyumba ina tofautiana standards inawezekana hiyo yako moja thamani yake ndio hizo 3 za mlinzi,acha kutishwa ni sawa uwe na Vogue moja umuogope mtu aliyesema ana gari 3 kumbe ni passo na vitz
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nijaribu kumtetea mleta maada.Na kwanini umdharau mtu??? Me nashangaa sana sisi watu tulivyo wa ajabu,utamsikia mtu anasema usimdharau usiye mjua ina maana unayemjua ndio umdharau???maisha tunategemeana sana na hakuna wa muhimu zaidi kuliko mwenzie..USIMDHARAU yeyote chini ya jua hili,.full stop.
Komenti tayari.
Ni levo mkuu.... kwa mtazamo wako ukijilinganisha na ww huyo dogo katusua kukuzidi ww na kibarua chako....lkn kumbuka humu JF akina Gullam wamiliki wa viwanda wamo.....