Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Bavaria tuu mkuu...
Wagoogle mkuu,sidhan kama kuna kampun ya vifaa vya ujenz kubwa kuliko kamaka tz..wapo pale near airport,pia pale kabla ya mwananch kama unaenda ubungoKamaka wanapatikana wapi?
Wanauza vifaa vya aina gani vya ujenzi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika hutumii Kichwa kufugia nywele, ubarikiwe wewe na uzao wako. Sema Amen!!Thamani ya mwanadamu haipimwi kwa anachomiliki bali kwa sifa pekee ya yeye kuwa mwandamu; mali zipo leo kesho hazipo bali ibinadamu husalia mpka mtu aendapo kaburini.
Tuheshimiane bila kujali Vyeo, Rangi, sura, mali, kimo, elimu n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Bavaria utalewa kweli!! Anyway agiza nalipa kwani sh ngapiBavaria tuu mkuu...
Ameeeni!Hakika hutumii Kichwa kufugia nywele, ubarikiwe wewe na uzao wako. Sema Amen!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ni bei chee kabisaa
That's my momNa kwanini umdharau mtu??? Me nashangaa sana sisi watu tulivyo wa ajabu,utamsikia mtu anasema usimdharau usiye mjua ina maana unayemjua ndio umdharau???maisha tunategemeana sana na hakuna wa muhimu zaidi kuliko mwenzie..USIMDHARAU yeyote chini ya jua hili,.full stop.
Komenti tayari.
For sure ... mzee babaKweli kabisa mkuu umenena vyema!
Hata humu JF kuna baadhi ya member kujiona wao ndo kila kitu na wengine ni mafala tu mbele yao! Lakini hakika nawaambieni nje ya JF mambo ni tofauti kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
My totoo😉
Ushaanzaa....😅
Basi si-rudii tena ... nisije kupigwa zongo bure ..ha ha haUshaanzaa....
Heb nambie nilichojikweza hapo mkuu.Mzee wa kujikweza siku zote JF..
Kiukweli ID feki zina tufichia mengi mnoo.
Na utapigwa kweli chezea wanazengo weyee,.
Nyumba ina tofautiana standards inawezekana hiyo yako moja thamani yake ndio hizo 3 za mlinzi,acha kutishwa ni sawa uwe na Vogue moja umuogope mtu aliyesema ana gari 3 kumbe ni passo na vitz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba ina tofautiana standards inawezekana hiyo yako moja thamani yake ndio hizo 3 za mlinzi,acha kutishwa ni sawa uwe na Vogue moja umuogope mtu aliyesema ana gari 3 kumbe ni passo na vitz
Sent using Jamii Forums mobile app