Kweli usimdharau mtu.

Usimalize mapema. Yote hii bado malizia story bhana...


{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Iko hivi..pesa inahitaji nidhamu,ndio maana ni rahisi kukuta "mafala" wamefanikiwa,kwanza hawana show off za kijinga na kula bata! Tukija upande wa pili ni kinyume chake!
Dah... Pesa inabagua aisee

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Uko vizur sana kiongoz hongera sana

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
tukawa tunapiga stori ya yule mtunza stoo pale, yupo mchafu mchafu hivi..Mimi hapo nimetoka kazini niko nadhifu vibaya mno sitaki hata vumbi linirukie..

Kwa maana hiyo wewe ulisha mdharau mutunza store..
Sasa nimeamini
"Watu huuliza unafanya kazi gani ili wakukadirie kiwango cha heshima ya kukupa", Baada ya kusikia ana nyumba3, magari 3 nadhani ulimpa heshima tofauti na ile uliyompa mwanzo

nimewaza tu kwa sauti
 
Kweli kabisa mkuu umenena vyema!
Hata humu JF kuna baadhi ya member kujiona wao ndo kila kitu na wengine ni mafala tu mbele yao! Lakini hakika nawaambieni nje ya JF mambo ni tofauti kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app


{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
You nailed it! sina cha kuongeza wala kupunguza!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza kama mimi.
 
Mdharau mtu kimoyo moyo. Huwezi kusema eti usimdharau mtu. Halafu watu tuna thamani tofauti tofauti duniani. Binadamu wote Ni sawa Ni katika harakati za watu wasijisikie vibaya huo msemo ukatungwa
 
Kweli kabisaa Saguda,.kujiona wewe ni mbora kuliko wengine ni dhihaka kwa Mungu muumba,.
 
Unakunywa kinywaji gani? Agiza nalipa!!


Comment imo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo Mbona kawaida sana,wabeba mizigo (wasambaa) na machinga wengi mtaa wa agrey kkoo wana nyumba kwa asilimia kubwa,so muheshimu kila mtu kuwa nadhifu haimaanishi umeyapatia maisha
 
Mzee wa kujikweza siku zote JF..

Kiukweli ID feki zina tufichia mengi mnoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…