Kweli unaweza kupata Mpenzi mtandaoni!?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,646
Online dating: Hivi hizi online dating huwa zinamafanikio kweli kwani nimekua nikihusisha na dating kwa njia ya mitandao kama afrointroduction.com,fillipinocuspid.com ila hasa hii ya fillipinocuspid.com humu ampapo kuna wadada wa kifilipino.

Sasa nilikua nataka kujua kama kuna mdau ashawahi kupata mke au mchumba kupitia hizi online dating,ili nisije nikawa napoteza muda tu bure
.


Ushauri wakuu

 
Wewe ni mtanzania au? unakaa ukifuatilia hayo mambo kabisaa, hafu ukute mtu mwenyewe wa Tandale.
 
Pambana tu kijana mi nakumbuka nikiwa na umri kama wako nilishapataga mpenzi kupitia facebook.
 
Kama una muda endelea kukomaa tu man, ukitoboa tushtuane na mimi nitafute some Boricua or Morena.
 
Daaah komaa tu utatoka unaweza kukutana na maya au clara ukala shavu!!
 
Umri wako unakuruhusu komaa kijana.
 

Hebu jaribu badoo
 
Madem au wapenzi utapata ila sio mke,ila mara nying huwa ni used sana na huko kitaa kwao wamechuja.take care man bora ukaze na wakitaa kwako unaowajua
 
Mademu wa mitandaoni wengi sura mbuzi, na mara nyingi ni mifupa ilowashinda fisi!!

ukiona mdada wa mtandaoni anakuganda sana, jiulize maswali mengi!!
 

Ni Bahati sana kumpata aliyetulia....Wengi hawajatulia pia wanaweza kukusababishia matatizo makubwa tu...Pray to God utapata someone Good but usitafute mitandaoni.Mi binafsi nina mchumba nilimpata mtandaoni,ametulia sana na ninahisi ulikua mpango wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…