Kweli unaempenda akupendi

Kweli unaempenda akupendi

feniz

Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
32
Reaction score
6
Nlikua na mpenzi wangu nampenda sana cha ajabu kaniacha nakuoa mwanamke mwingine na akuna nilichowahi mkosea alinbadirikia ghafla.

Nkakumbuka ule usemi wa unaempenda akupendi, tatizo ni bado nampenda na sijui nifanyaje.

Ushauri wenu wana JF
 
sasa kama ashaoa mwingne bas huyo ashaondoka. Jafta mwingne tu utapata tena umpende zaid
 
Ameshaoa huyo mtoe akilini sio fungu lako kuwa na subira mshirikishe Mungu atakupa atayekupenda na ukampenda pia
 
Pole sana kwa kuachwa, but amini kuwa kuna jema zaidi huko mbeleni ambalo Mungu amekupangia. Mshukuru Mungu kwa yote... nyanyuka,kung'uta vumbi na songa mbele

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nlikua na mpenz wangu nampenda sana cha ajabu kaniacha nakuoa mwanamke mwingine na akuna nlichowah mkosea alinbadirikia ghafla. Nkakumbuka ule usem wa unaempenda akupendi......tatizo ni bado nampenda na cjui nifanyaje....ushauri wenu wana jf

Nipende mimi...ninakuahidi sitokukimbia beibe...
 
tangaza nia hapa watakuja, au bado hujatoka kwenye kipindi cha kuskilizia machungu

Itakuwa vizuri akitake break kabla hajaamua kuwa na uhusiano mpya. Kwa sasa moyo bado una maumivu. Muda huu utumie vizuri kumshirikisha Mungu ili akupe mume wa ndoto zako, uliyepangiwa na Mungu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Itakuwa vizuri akitake break kabla hajaamua kuwa na uhusiano mpya. Kwa sasa moyo bado una maumivu. Muda huu utumie vizuri kumshirikisha Mungu ili akupe mume wa ndoto zako, uliyepangiwa na Mungu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nashukuru sanaa
 
nlikua na mpenzi wangu nampenda sana cha ajabu kaniacha nakuoa mwanamke mwingine na akuna nilichowahi mkosea alinbadirikia ghafla.

Nkakumbuka ule usemi wa unaempenda akupendi, tatizo ni bado nampenda na sijui nifanyaje.

Ushauri wenu wana jf
hili ni tangazo la nafasi tu apply au...
 
Nlikua na mpenzi wangu nampenda sana cha ajabu kaniacha nakuoa mwanamke mwingine na akuna nilichowahi mkosea alinbadirikia ghafla.

Nkakumbuka ule usemi wa unaempenda akupendi, tatizo ni bado nampenda na sijui nifanyaje.

Ushauri wenu wana JF
inapofika swala la kuoa wanaume wanakuwaga hivyo kuna kitu kinaitwa wife material, mtu anaweza acha mpenzi wake na kwenda kwa mdada usiyetarajia maana keshachunguza na kuona aliyenaye anampenda ila kwa kuwa wife huyo mwingine ndiyo atafaa zaidi, kama ungekuwa wife material kwake angekuoa, ila usijali maana yuko atakayekuona wife material, badala ya kuumia na kufikiria mpenzi ambaye keshaoa, wewe jiandae kwa atakayekuja, kwa kujiandaa namaanisha jiweke mkao wa kuwa wife, kitabia na mambo mengine. Kutokuoa wewe haimaanishi hakupendi na hata kubadilika inaweza kuwa alijihami tu aliogopa ukimbana anaweza asikurupuke.
 
Tru story naomba mtoa mada aizingatie
 
Back
Top Bottom