Kweli Tunatofautiana

My next target vacation [HASHTAG]#Canada[/HASHTAG]....
 
Hali ya maisha yao inaridhisha,na mshahara unatosheleza na wao wameridhika na kutosheka. Wana furaha!

Sisi hali ya maisha hairidhishi,mishahara haitoshelezi lakini tunalazimishwa kuridhika na kutosheka. Ndio maana mtu anakinunia hadi kivuli chake.
 
Umeona eeeh!Na kivuli kilivyo na tabia mbaya siku hizi.We unasimama gengeni ununue mchicha wa 200/ chenyewe kinasimama buchani.Sijui hakielewi zama zimebadilika?
 
Reactions: Cyb
Hmm! Mara paap, Wabunge wa JMT wanaandamana kukataa posho...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa zile nchi zenye watu wabinafsi hili haliwezi tokea, maana watu wengi wanapenda kujilimbikizia mali, pesa nk
 
kwahiyo hapo hao ndo wa Canada wenyewe ama picha haiendani na mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…