Natuma msg nikiwa nafly with a classic private jet u know....mgomo hauniathiri
Kutamani ni tendo lenyewe, na kuvutiwa ni muonekano. Kuna vitu viwili tofautu hapo. Ukiona cha kwanza ni unavutiwa alafu unaenda mbali kidogo unatamani, ukitamani unagusa, ukigusa unakula, ukishiba unaacha ili wengine wapate nao. Unaweza ishia kwenye kuvutiwa na siyo kutamani.