KWELI TUISHI NAO KWA AKILI

KWELI TUISHI NAO KWA AKILI

MBWAMBO NICHOLAUS JR

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
423
Reaction score
434
Habari za mda huu mabibi na bwana... wa jukwaa la MMU

Niende kwenye mada moja kwa moja hawa wanawake tuishi nao kwa akili kama maandiko yalivyosema...

Nikikumbuka kisa kimoja ambacho kilinitokea last time huwa nacheka sana kwa uboya wangu aisee....

Ipo hivi kuna mrembo mmoja kitaani ninapoishi hapa since primary na O-level nimesoma naye..

Huyu mrembo aisee... Alikua silent killer sanaa ukimuona geti kali kumbe Bonge la Hatrick Man (Ronaldo ) Kenywe KUBOSHOLEWA..

Haikuwahi kusikika anatoka na nani alikua cool tuu si mwanaume nikajitupa kumfukuzia lengo kumuweka ndani aisee nilimpenda sanaa... ilichukua mwaka mmoja na miezi miwili ndani ya huo mda sikuwahi kula mzigo huwezi amini...

Yaani alikua ananichubua pesa kinyama aiseee... na ubahili wangu wote kwake nilikua natulia....

Hapo kati yalitokea mengi nikaamua Give up kwake nikajipanga na mishe zingine....

Sasa msimu huu nimerudi village kuvuna mazao shambani ninekutana naye naye amerudi kucheki wazazi wake baada ya kumaliza chuo....

Ameanza kujisongeza karibu nami anasema ohoo nisamehee ule ulikua utoto mimi nakupenda sanaa samehe bwana anaongea na Bashasha nyingi sana kwamba kipindi kile mchizi wake aliyemtoa bikra ndio alikua anamzuzua saivi akili imekua...

Sasa majibu yangu kwake kuwa "Mind you are business only"

Ila bado simu hazikauki kwangu nimemtumia sms kuwa vipesa ukivyokula kipindi kile it's enough mimi na wewe...

Aiseee kila nikikumbuka hawa viumbe huwa nacheka tuu ama kweli tuishi nao kwa akili....

Hakuna kuruka hatua kila mtu lazima atapitia rough time tuu .......

Karibuni kwa mjadala
 
mgonge umuache.......hapo utakuwa kamili gado......how come uliwe kiboya? au ndo ushakubali kuwa BOYA kama ulivyoandika hapo......ukichunwa bila kula we ni boya.com
 
Habari za mda huu mabibi na bwana... wa jukwaa la MMU

Niende kwenye mada moja kwa moja hawa wanawake tuishi nao kwa akili kama maandiko yalivyosema...

Nikikumbuka kisa kimoja ambacho kilinitokea last time huwa nacheka sana kwa uboya wangu aisee....

Ipo hivi kuna mrembo mmoja kitaani ninapoishi hapa since primary na O-level nimesoma naye..

Huyu mrembo aisee... Alikua silent killer sanaa ukimuona geti kali kumbe Bonge la Hatrick Man (Ronaldo ) Kenywe KUBOSHOLEWA..

Haikuwahi kusikika anatoka na nani alikua cool tuu si mwanaume nikajitupa kumfukuzia lengo kumuweka ndani aisee nilimpenda sanaa... ilichukua mwaka mmoja na miezi miwili ndani ya huo mda sikuwahi kula mzigo huwezi amini...

Yaani alikua ananichubua pesa kinyama aiseee... na ubahili wangu wote kwake nilikua natulia....

Hapo kati yalitokea mengi nikaamua Give up kwake nikajipanga na mishe zingine....

Sasa msimu huu nimerudi village kuvuna mazao shambani ninekutana naye naye amerudi kucheki wazazi wake baada ya kumaliza chuo....

Ameanza kujisongeza karibu nami anasema ohoo nisamehee ule ulikua utoto mimi nakupenda sanaa samehe bwana anaongea na Bashasha nyingi sana kwamba kipindi kile mchizi wake aliyemtoa bikra ndio alikua anamzuzua saivi akili imekua...

Sasa majibu yangu kwake kuwa "Mind you are business only"

Ila bado simu hazikauki kwangu nimemtumia sms kuwa vipesa ukivyokula kipindi kile it's enough mimi na wewe...

Aiseee kila nikikumbuka hawa viumbe huwa nacheka tuu ama kweli tuishi nao kwa akili....

Hakuna kuruka hatua kila mtu lazima atapitia rough time tuu .......

Karibuni kwa mjadala
Hebu rejea hio sentence yko ya kiengereza kidogo tafadhali kuna kitu nataka kuckia
 
Back
Top Bottom