Kweli tembea uone. Mzizi ulikuwa waijua hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli tembea uone. Mzizi ulikuwa waijua hii!

Discussion in 'JF Doctor' started by Rubi, Mar 14, 2013.

 1. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2013
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,618
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nimeiona hii Neema blog ila sijui niche:becky: haya kwa wale wenye mgogoro jaribuni!  SULUHISHO LA UPUNGUFU/ UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.  Zipo dawa za asili za aina mbalimbali ambazo zimethibitika kumaliza kabisa tatizo la ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume, kwa leo tutaelezea kuhusu vitu vitatu ambavyo endapo vitatumiwa kwa pamoja basi vinaweza kumaliza kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na kukufanya uwe fit kama dume la simba, na ngangari kama livyokuwa wakati una balehe.


  .1. KORODANI ZA JOGOO WA KIENYEJI ALIYEKOMAA  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Picha ya korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa. [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Korodani za kuku ni dawa nzuri sana ya nguvu za kiume, na imekuwa ikitumiwa na mababu zetu tangu enzi na enzi, vijana wa siku hizi hawajui ukweli huu kwa sababu wana kasumba ya kudharau vitu vya asili.
  MATAYARISHO :

  1. Tafuta JOGOO WA KIENYEJI ALIYEKOMAA ..Nimeweka msisitizo hapo kwenye neno " Jogoo Wa Kienyeji Aliyekomaa " kwa sababu najua kuna watu wanaweza kuchukua kuku wa kizungu, ama jogoo ambaye hajakomaa. Kamwe usifanye kosa hilo na usithubutu kabisa kutumia korodani za kuku wa kizungu. Kama haujui jogoo aliyekomaa ni yupi, uendapo kwa muuzaji wa mwambie akusaidie kupata jogoo aliyekomaa.

  2. Unga wa HABBAT SAWDA au Unga wa MJAFARI robo kilo.
  3. Andaa kisaani ambacho utakitumia kuweka korodani zako baada ya kumchinja kuku.  NAMNA YA KUFANYA :

  1. Mchinje jogoo wako kisha mpasue kwa ajili ya kutoa korodani zake. Unapozitoa korodani za jogoo wako hakikisha unafanya bila korodani zako kupaa damu ila kama ikitokea bahati mbaya korodani zako zikigusana na damu, unaweza kuzisafisha lakini inashauriwa zaidi uzitoe korodani zako bila korodani hizo kugusana na damu. Kuna namna ambayo ukifanya, korodani haziwezi kugusana na damu wakati unazi toa. ( N.B: Korodani za jogoo unapozitoa, huwa kama mayai na haziwi na damu damu kama unavyo weza kudhania )


  2. Chukua unga wa HABBAT SAWDA ( Tamka HABAT SODA ) au unga wa MJARIFU kiasi cha robo kiganja na kuutia kwenye kisahani chako.

  3. Baada ya kuzinyofoa korodani hizo za kuku, ziweke juu ya kisahani chako ambacho juu yake umeweka unga wa HABBAT SAWDA ama unga wa MJARIFU na kufanya kama unazi biringisha biringisha hivi ili kuzichanganya.

  4. Chukua korodani zako zote mbili , moja baada ya nyingine weka kinywani, meza na maji kama vile unavyo meza dawa. Hapo zoezi lako litakuwa limekamilika.
  Hautakiwi kumeza zaidi ya korodani mbli, korodani mbili tu zinatosha sana, ila kama utataka kuwa na nguvu mara dufu unaweza kuwa unafanya zoezi hili kila mwezi, mra moja kwa wiki, mara mbili kwa wiki ama kila siku, kwa kadri unavyo jiweza .Endapo utafanya zoezi hili mara kwa mara basi nguvu zako zitakuwa sio za kawaida.

  KAZI YA KORODANI ZA KUKU : Zitakufanya uwe na nguvu za ajabu na wala usichoke kufanya tendo la ndoa, unaweza kufanya tendo la ndoa hata mara nne, bila ya kuchoka na utakuwa unajisikia upo ngangari muda wote, sana sana labda ukose pumzi ama uchoke kiuno, but nguvu za kiume, utakuwa safi sana..


  2. SUPU YA KORODANI ZA MBUZI : Korodani za mbuzi zinapatikana maeneo kama vile machinjioni n.k na zinapztikana kwa bei nafuu sana. Chukua korodani zako za mbuzi, zitumie kutengeneza supu kishs kunywa supu yako pamoja na korodani hizo za mbuzi ambazo zinakuwa zimekwisha wiva. Ukifanya hivi angalau mara moja kwa wiki kwa muda wa mwezi mmoja, amini ninacho kwambia, utakuwa vizuri sana. Kama hauna nafasi au muda wa kutengeneza supu unawezan kwenda katika maeneo ambayo wanatengeneza supu ama wanauza mbuzi choma na kuweka oda wakutengenezee supu ya korodani za mbuzi. ..Mgahawa wa wazi uliopo katika eneo la Sinza Afrika, sana ni maarufu kwa kutengeneza supu ya korodani za mbuzi, unaweza kutafuta muda ukaenda hapo kwa ajili ya kujipatia supu ya korodani za mbuzi ambayo hujulikana zaidi kama " ASHUSHI "


  3. DAWA YA ASILI IITWAYO " JIKO " : Dawa hii imebatizwa jina la "Jiko " kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuwasaidia wanaume kuyalinda majiko yao. Ni dawa safi sana na yenye nguvu za ajabu. Ni dozi ya siku kumi na mbili tu ambayo inaanza kuonyesha matokeo baada ya wiki mbili. Dawa hii inafanya mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuimarisha mishipa ya uume uliolegea ama uume ulioingia ndani, inaongeza hamu ya tendo la ndoa maradufu, inakufanya uweze krudia tendo mara nne bila ya kuchoka ( labda uchoke kiuno au pumzi ), na inakupa uwezo wa kukaa juu ya kiuno kwa muda mrefu .

  Endapo utatumia vitu vyote vitatu, kama vilivyo orodheshwa hapo juu, yaani korodani za kuku, supu ya korodani za mbuzi pamoja na "Jiko" au "Nguvu Kazi" kwa jina lingine. Kuwa na uhakika kwamba tatizo lako la upungufu ama ukosefu wa nguvu za kiume, litakuwa limekwisha kabisa ndani ya mwezi mmoja wa kutumia dozi yako.

  N.B : Dawa hii ni kwa ajili ya watu waliopungukiwa ama kuishiwa nguvu za kiume ambao wamewahi kuwa na nguvu za kiume, dawa hii haiwezi kumsaidia mtu ambaye amezaliwa akiwa hana nguvu za kiume.( ------- ).:becky:
   
 2. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2013
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Seriously?!?
   
 3. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2013
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,618
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  yeah but mmh!!! kama ningekuwa me naona ningeweza tapika mpaka nyongo labda nijifanye nakula soseji. kha!
   
 4. kashesho

  kashesho JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 4,530
  Likes Received: 749
  Trophy Points: 280
  heee hutakiwi kuzichemsha?????? ha ha ha wanaume suruali kazi kwenu
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,754
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  N.B : Dawa hii ni kwa ajili ya watu waliopungukiwa ama kuishiwa nguvu za kiume ambao wamewahi kuwa na nguvu za kiume, dawa hii haiwezi kumsaidia mtu ambaye amezaliwa akiwa hana nguvu za kiume.( ------- ).:becky:[/QUOTE]
  MIMI NAHITAJI HIYO DAWA IITWAYO jiko, NIAMBIE NITAIPATA WAPI. HIZO NYINGINE KHA , MSALA
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,423
  Likes Received: 4,284
  Trophy Points: 280
  Mkuu Rubi Asante kwa dawa yako na ushauri wako mimi ningelikuwa nipo huko nyumbani ningeliifanya uchunguzi dawa yako kwa kuitumia lakini nipo nje ya nchi na huku hakuna hayo Ma Jogoo yaliyo komaa huku Kuku tunamnunuwa Super Market amesha chinjwa utampata wapi Jogoo aliyekomaa huku

  hata kama utaagiza Jogoo mzima basi inaweza kuchukuwa hata mwezi kumpata na hata ukimpata utauziwa Dollar 30 kwa pesa za huko nyumbani TZ Shillingi Elfu 50. sasa itakuwa kazi kubwa na ndefu niliwahi kutaka Jogoo mzima ili nimfanyie mtu huku Dua basi ilikuwa kasheshe kweli kumpata na nilimpata kwa shida sana. Asante Mganga Rubi hongera kwa dawa yako.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2013
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Noted... Just for curiousity
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2013
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,946
  Trophy Points: 280
  Mnhhh...hizi dawa hasa ya kwanza na ya 3 ndio nazisikia leo...

  Hiyo ya pumbu za mbuzi naweza kuamini coz kila tukichinja zamani tulikuwa tunaambiwa pumbu ni za wazee tena wanaume tuu....hizo zinaitwa hashua na zapatikana baa moja temeke huko sikumbuki yaitwaje ila ni maarufu sana kwa huo mzigo...

  Kiongozi hiyo baa yenye kuuza pumbu za mbuzi hapo sinza afrika sana inaitwaje...nikagonge hashuwa nione mabadiliko..pia nakuwa nimepiga na breakfast kiaina badala ya kula supu mbuzi na chapati mbili unakula pumbu mbuzi mbili unapata shibe na charge inaongezeka...ahahaha 2 in 1.
   
 9. Gefu

  Gefu JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2013
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 6,962
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Mchawi..
   
 10. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2013
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Tafuna tu kaka,ukizitia tu mdomni unaanza kuzitafuna zinapasuka pwaaa,uanaume nao kazi jamani!
   
 11. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2013
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ha ha...ngoja niisave hii itanisaidia nikifika miaka 80
   
 12. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2013
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  lol...mimi tatizo langu tu ni kama zinaweza kupita kooni..
   
 13. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2013
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,181
  Likes Received: 3,389
  Trophy Points: 280
  yeah... elimu kubwa hii, ngoja umri usogee hasa ya korodani, hizi zingine zinatekelezeka..
   
 14. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2013
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,618
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hapo sasa unajua zamani nilikuwa siwezi kunywa kloloquine mpaka niiweke kwenye tonge la ugali au ndizi ndo nimeze.

  Sasa hii najua inateleza lakini je hutatapika. kaazi kwelikweli.
   
 15. gody

  gody JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2013
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145  kwenye Red si nikajua kinachofuata ni kupaka chumvi na mafuta kidogo
  harafu kutia kwa Oven
  kuendelea kidogo si ndo nakutana kwenye Blue hapo
  hapo nikasema sijui kama inawezeka maana vidonge vya Rangi mbili tu vinakwama!!
  Hiri zoez gumu kidogo aisee!!
   
 16. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2013
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,618
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kweli hii haina tofauti na uganga maana unaambiwa unapozitoa hakikisha zisigusane na damu. halafu zingekuwa zinakaangwa zinaonekana tamu unajua tumezoea kusema mayai ya jogoo hayaliwi khe! kumbe ni dili kwa wengine.
   
 17. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2013
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,618
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kweli ndugu yangu ukiwa unaishi ughaibuni hasa kwenye nchi za thelujitheluji ni kazi kweli kupata vitu asilia kama kuku wa kienyeji ambao huku Afrika tunawafuga kwa wingi tena chakula wamezoea kujiokotezea wenyewe kwa kuchakulachakula ni muhali.

  Lakini ndio maisha utafanyaje ukimpata mtu anakuja bongo we agiza tukuletee hata kwa meli tutawaweka kwenye tenga na vyakula vyao asilia ili hata kama meli itasafiri mwezi mzima nao wafike salama. [​IMG]


  [​IMG]
   
 18. E

  ESAM JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2013
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Njoo ufanyiwe maombi kwa jina la Yesu tu inatosha
   
 19. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2013
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,618
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
   
Loading...