Kweli Tanzania ni nchi yenye utawala bora?

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
8,307
Reaction score
14,628
Wakati Tanzania ikiendelea na harakati za Uchaguzi Mkuu, October 29, 2025, Huku hali ya kisiasa ikiwa na sintofahamu nchini.

Ripoti ya Country Governance and Government Index (CGGI) Imeorodhesha Tanzania katika 10 bora kama nchi yenye utawala bora Afrika.

Tanzania inashika nafasi ya 6 barani Afrika na nafasi ya 78 Duniani. Je ripoti hii ni sahihi kwa upande wa Watanzania.
 
Majizi hayo yanapakana mafuta kwa mgongo wa chupa
 
utawala bora maana yake ni nini, hapo ndio pa kuanzia.
Hili swali nadhani linawahusu moja kwa moja ccm, kwa upande wangu sielewi utawara bora wanao uimba na kufundisha watoto kila siku shuleni ni upi hasa?
 
Huo ni utawala bora wa kwenye makaratasi, kama tu ilivyokuwa kwenye zile takwimu zao za uchumi kukua kwa aslimia 7, mara 9! Mara sijui tumeingia kwenye uchumi wa kati, nk. Ukija kwenye uhalisia, mambo ni tofauti kabisa.
 
hayo ndio yaliyofanya ipate hiyo nafasi ya 6, yasingekiwepo ingeshika nafasi ya kwanza au bora zaidi ya 6
kwa upande wangu nafikiri haikufaa hata hiyo nafasi ya 6, isingekuwepo kabisa.
 
Huo ni utawala bora wa kwenye makaratasi, kama tu ilivyokuwa kwenye zile takwimu zao za uchumi kukua kwa aslimia 7, mara 9! Mara sijui tumeingia kwenye uchumi wa kati, nk. Ukija kwenye uhalisia, mambo ni tofauti kabisa.
Hakika ukweli mchungu...
 
Back
Top Bottom