Kweli starehe gharama

Kweli starehe gharama

Idhae

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
609
Reaction score
277
Amini usiamini jamaa mmoja alipata milion 160 baada ya kuibuka na madini ya tanzanite huko mereran miaka minne iliyopita.
Chaajab hana kitu kabsa sasa hivi, ukimpa miatano tu atakushukuru ajabu.

Kipindi amepata hela, alinunua gari ya kutembelea na kuanza kuvinjari mahoteli makubwa akiwa na mabinti wawili au watatu huku akilala nao chumba kimoja. Kila baada ya siku mbili au tatu hubadilisha wengine

Nyie viumbe wanawake kwanini mnatufanyie hivyo sisi viumbe wanaume?
FEDHA HANA WALE WALIOMCHUNA NA KUFAIDI MIHELA YAKE HAWAMTAKI TENA NA MBAYA ZAID HAOHAO NDIO WANAMCHEKA BEBY WAO KIPINDI ANAZO
 
Mwanamke anaweza kukufanya millionea tu endapo wewe ni billionea
 
mwanamke anaekupendea pexa co mwanamke huyo achana nae maana ukifulia ndie wakwanza kkuxema
 
Amini usiamini jamaa mmoja alipata milion 160 baada ya kuibuka na madini ya tanzanite huko mereran miaka minne iliyopita.
Chaajab hana kitu kabsa sasa hivi, ukimpa miatano tu atakushukuru ajabu.

Kipindi amepata hela, alinunua gari ya kutembelea na kuanza kuvinjari mahoteli makubwa akiwa na mabinti wawili au watatu huku akilala nao chumba kimoja. Kila baada ya siku mbili au tatu hubadilisha wengine

Nyie viumbe wanawake kwanini mnatufanyie hivyo sisi viumbe wanaume?
FEDHA HANA WALE WALIOMCHUNA NA KUFAIDI MIHELA YAKE HAWAMTAKI TENA NA MBAYA ZAID HAOHAO NDIO WANAMCHEKA BEBY WAO KIPINDI ANAZO

Enyi wanaume wapumbavu, kwanini mnakubali kufanyiwa hivi na wanawake wajanja?
 
Amini usiamini jamaa mmoja alipata milion 160 baada ya kuibuka na madini ya tanzanite huko mereran miaka minne iliyopita.
Chaajab hana kitu kabsa sasa hivi, ukimpa miatano tu atakushukuru ajabu.

Kipindi amepata hela, alinunua gari ya kutembelea na kuanza kuvinjari mahoteli makubwa akiwa na mabinti wawili au watatu huku akilala nao chumba kimoja. Kila baada ya siku mbili au tatu hubadilisha wengine

Nyie viumbe wanawake kwanini mnatufanyie hivyo sisi viumbe wanaume?
FEDHA HANA WALE WALIOMCHUNA NA KUFAIDI MIHELA YAKE HAWAMTAKI TENA NA MBAYA ZAID HAOHAO NDIO WANAMCHEKA BEBY WAO KIPINDI ANAZO

Hahahaha umetisha hapo mkuu ila hakujipanga na ndo ishatoka hiyo tuliobaki tujifunze kupitia hapo
 
Mimi na hela zangu mbali na mwanamke
 
Duuh na hili nalo LA kuwalaumu wanawake?

We unapanga wanawake 3 kit and a kimoja ulafu unategemea hao wanawake wawe na mpango WA ndoa au kutumia pesa tu.

Utajir haukai kwa mjinga ata cku moja.
 
Si arudi mereran apige mpunga mwingine aje kula bhata kitaa......kama vp aje dukan kwangu nimpe dili la kubeba mizigo. Sharti jina lake liwe rahisi kuita km vile Sabani, Juma,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom