matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 128
yani we ndo unajua leo??? j k alichaguliwa na Rajab Kravu,Lewis makame,Said Mwema na gen shimbo na mwamunyange bila kumsahau jack zoka!!Yaliyotokea jana Mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba Dr.Willbrod Slaa(Ph.D),alishinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 kama Rais wa Tanzania.Amempa Mkwere siku tisa kabla ya kupa-Libya hapa petu.Kuanzia sasa Rais wangu Slaa.....naiacha CCM,KWAHERINI WANACHAMA WENZANGU WA CCM.:flock:
msihofu hata JK anajua hakushinda, ila yuko pale kwa sababu ya shinikizo la mafisadi. Na ndiyo maana issue ikitokea, yeye anachukua passport yake anatimka kwenda ughaibuni, eti kusuluhisha matatizo....baada ya gongo la mboto ni mfano rahisi kukumbuka, alitimkia Mauritania eti kusuluhisha gogoro la ivory coast. wakati sisi tuna issues nyingi sana.
Duh kweli wajinga wali wao, ule umati wewe waliofika pale si wapiga kura ungeuliza wangapi waliojiandikisha na kupiga kura ungeshangaa idadi yao ilivyo ndogo, ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi mzee !
Tatizo lako umelishwa sumu ya kutokuweza hata kufikiri na kutafakari kwa namna yoyote ile na hao viongozi wako wa CCM. Udini unatoka wapi ndani ya CHADEMA? Hivi wewe hujauona udini ulivyoota mizizi ndani ya CCM hadi kufikia kulumbana wenyewe kwa wenyewe kupitia kwenye magazeti ya kidini kuwa Wana-CCM wakristo wanamhadaa Rais kikwete ili afanye vibaya katika uongozi wake kwa lengo la kuuonyesha umma kuwa Waislam hawawezi uongozi kwani kila kunapokuwa na rais Mkristo mambo huwa yanaenda vizuri.ZITO mtoe, hakuna mwislam atakayepewa nafasi ya kugombea urais CHADEMA mnyika sawa ni kijana wao wa kikatoliki wamemkuza wenyewe
Yaliyotokea jana Mwanza yanadhihirisha pasi na kuacha shaka kwamba Dr.Willbrod Slaa(Ph.D),alishinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 kama Rais wa Tanzania.Amempa Mkwere siku tisa kabla ya kupa-Libya hapa petu.Kuanzia sasa Rais wangu Slaa.....naiacha CCM,KWAHERINI WANACHAMA WENZANGU WA CCM.:flock: