Amina Thomas
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 272
- 130
Bwana She-Buda ni ovyo kabisa, atavuna alichopanda. Maana nina imani ataona aibu kurudi sisiemu.... sina hakika ataenda chama gani. Pia kwa leo katika mkutano wamefanya hekima sana kutomgusia, maana angepata umaarufu sana. Kukaa kimya bado anajiona ni mpumbavu mno.Leo viongozi wa chadema wameonesha ukomavu mkubwa kwa kutozungumza chochote kuhusu Shibuda licha ya wananchiu kushinikiza kiaina hasa pale alipoinuka Heche na kamanda Mbowe.
Kwa kweli sehemu kubwa ya wananchi pale Jangwani walikua na kiu ya kuona Shibuda akitimuliwa rasmi kwenye chama. Muda ulikua unakimbia sana na viongozi walitumia vizuri sana kwa kuzungumzia masuala ya muhimu kama vile katiba na mengineyo.
Hiyo ni hekima kubwa sana kwani haikua busara kuendeleza malumbano yasiyo na msingi na pia kama alikua anatafuta umaarufu pale ndio angeupata hasa. Lakini makamanda wamepotezea na kuonesha iumakini na ukomavu wa kisiasa kwa kufanya mambo ya msingi na maslahi ya wananchi.
Sidhani kwamba Shibuda ni pandikizi , he could have just pretended he hates CCM so much and he could have raise thru ranks to thr top ,since he came wit name recognazation , hapo angekua na uwezo wa kukibomoa chama , hana cheo chochote zaidi ya ubunge he can't do no damage , nafikiri ni tabia yake tuu, CCM wenyewe hawamuamini hawawezi kumtumia, labda anapuliza ili awe na footing nyingine CCM, kikiwaka chadema huyo cheza kama kaseja , simba , yanga then simba
Hajapewa nafasi, amekabwa tangu alipoingia sasa ameamua kupayuka !
Pandikizi la CCM ndani ya chadema ni Mbowe, mtakuja kunambia.
We aim high!
Bange mbaya sanaPandikizi la CCM ndani ya chadema ni Mbowe, mtakuja kunambia.
We aim high!
Pandikizi la CCM ndani ya chadema ni Mbowe, mtakuja kunambia.
We aim high!
Pandikizi la CCM ndani ya chadema ni Mbowe, mtakuja kunambia.
We aim high!
Hajapewa nafasi, amekabwa tangu alipoingia sasa ameamua kupayuka !