hahaha mambo ya imani hayoKweli ahera kunafaa, mizigo kama hiyo 40, na bado uwezo wako ni 100. Kazi itakuwepo
hahaa ndo vitu anapendaga sasa hivi shekhe...Hizi ndio mambo za sheikh Kipozeo. Neema za Allah.
wapi shekhe kipozeo.................!!!!!!
duuh ngoja nikanunue kipande cha sabuni nikaoge
Wa hivi wengi hamnaga kitu... Ninaye mmoja wa Mwanza naishia kuuza nae sura tu.. Injini hamna kitu ishachakachuliwa.
Hapa ukiniambia eti 'mchepuko sio dili' nakutukana. Hili ndo dili lenyewe!
Acha nyeto mkuu