Hewaala.si hiyo ya kujirudia bamdogo kula mahari yangu
hahahaAhaahahh bahati yako ujue gea ameniambia yameisha
Hahaha
Sa ntajuaje kama Iceman 3d hajafanya yake?Wewe mquote asiye wa jinsia yako kisha anza kujamiana
Teeeena ndo vzr kabsaa
Mnatoka sehem moja
Maana ukiongea nae
Ww n rahis saana kukuelewa
Hata naona ukiwa msmamiz,wa arus
[Color= yellow]Triple A[/color]
Ukhuty soooooohahahaHuu mtindo wa kushinda jukwaa la siasa na jukwaa la wakubwa unanikosesha wachumba.
Naombeni usajili jukwaa la kuhusiana na kujamiiana
Huu mtindo wa kushinda jukwaa la siasa na jukwaa la wakubwa unanikosesha wachumba.
Naombeni usajili jukwaa la kuhusiana na kujamiiana
Hewaala.
Halafu ninakesi ya chini chini na wewe
me na mambo ya kesi tofauti bamdogo unanikimbiza ujueNakupenda munoooo dadii akee shunie![]()
![]()
![]()
Ahahhah jiranihahaha
jirani haya mambo ni complicated kama movie yenye sibtitles
yaan hapa sjielewi elewi
Ile kitu haiachi alama acha hizoSa ntajuaje kama Iceman 3d hajafanya yake?

Sikukimbizi bwana chungulia kuleee...![]()
me na mambo ya kesi tofauti bamdogo unanikimbiza ujue
Nilikua nasubiria hilo jibu, kama mtu anayesubiria m-pesa..!!!
Kitu gani hiyo bamdogo basi utaniambia nikalaleIle kitu haiachi alama acha hizo