Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
huyu bhanaHahahahaha jamaa anakuudhi ee
anapiga mule mule alaf
na iPhone yake mpya

huyu bhanaHahahahaha jamaa anakuudhi ee

Tu tatu anajazahivi ana weza jaza ki mwendo kasi kimoja et?

eeeh kakaHapa msaada utapata mzee
Mwenzang ila c unajua
Wakat wa magu huu
Mkono lazma uwe mrefu
Enz,za jk zliisha
[Color= yellow]Triple A[/color]
Gea ebu nitajie hata wawili hawafikihivi ana weza jaza ki mwendo kasi kimoja et?
Tu tatu anajaza![]()
Halaf beby sikia Ngabu ni mhenga ujue ni babu ati we mchukulie poa
Hawa ninadawa yaoSasa mtaondoka hv hv
Bla kutuachia bia cret 1
Vile makoromeo yanekauka
Cc daby
[Color= yellow]Triple A[/color]
eeehPole jamaan Gea kwa nini lakini ice kakufanyia hivyo angemsifia kimya kimya tu

eeeh kaka
ila zama hizi mzee anatunyoosha sema raha yake ni kuwa ukijiongeza kidog tu u aonekana wa maana.
hatar sanaKasi ya huu Uzi ni kali sana, unahitaji wenye mapafu ya chita, wahenga hatuuwezi kabisa.![]()
![]()
![]()
Ngoja nije PM.
Nitaanika kila kitu😀.
Mwenzio jana alishakubali kubadili hadi jina lake aitwa Gea Ngabu.
jaman rate yangu ya mapigo ya moyo inazid kuongezekaNgabu ni mhenga ana miaka 90 ,usione wivu ule ulikua utani





bamdogo sitaki mimi jaman halaf namtafuta manga nimeambiwa ananitafuta toka jana usikuYan wanatuchukulia poahHawa ninadawa yao
okay thank uuNipo lovie nimekujibu