Kweli nimeamini mwenyekiti akisema ni amri!

Joined
Aug 27, 2014
Posts
15
Reaction score
5
Wadau,

Nimemsikia mzee Ngwilizi akisema wao wameamua zibaki serikali mbili ila wajue wenzetu wanajichagulia serekali na wana mambo yao wamekuwa wakitubagua hadharani na kutuchagulia rais kamwe haitovumilika kuona eti chetu chao wakati chao ni chao!

Muda wa kuidai nchi mojaunakuja au Tanganyika irudi ili heshima ya with owe sawa kwa sawa pande zote za nchi yetu!

Mwenyekiti aliongea wao wametekeleza ila Watanganyika na ubaguzi wa waunguja na wapemba sijui kama tutafika salama!

Nashauri katiba ya Zanzibar irekebishwe LA sivyo tujiandae kuandika Latina mpya baada ya huu uozo kupitishwa na mwenyekiti wa CCM!

Nawasilisha
 
Asante sana kwa ujumbe, ila next time zingatia matumizi ya comma, paragraph, nukta etc.

Turudi kwenye mada - huyo Ngwilizi ni kama hajitambui wala hajui anasimamia nini. Ukisoma kwa nakini utagundua ameshikiwa akili, sijui mara serikali 2 oh mara 3, kwa kifupi hasomeki.

Hatudai tanganyika au serikali 3 kwa ajili ya kugawana madaraka au lah! hapana. Tunadai Tanganyika na serikali tatu ili kunusuru na kuboresha tunu yetu pekee tunayojivunia ambayo ni Muungano.

Tunaidai Tanganyika na Serikali 3 ili kuharakisha maendeleo yenye kujali siasa safi, uongozi imara, amani na udugu wa kweli kati ya bara na visiwani.

Ktk hili CHADEMA ndio chama pekee yenye sera mujarabu kabisa kutufikisha ktk nchi ya ahadi
 
Tunadai serikali ya Tanganyika kwa sababu bila hiyo; huo muungano hauna uhalali!
Muungano mzuri ungefaa wa Serikali moja. Lakini kwa vile kuna ugumu wake waTanganyika inabidi wapewe haki ya utambulisho wao!
Tusisubiri hadi watakapo shtuka usingizini na kudai iliyo haki haki yao!
 
ridhaa pekee ndiyo dawa ya muungano. haijalishi idadi ya serikali.
 
Asante sana kwa ujumbe, ila next time zingatia matumizi ya comma, paragraph, nukta etc.

Turudi kwenye mada - huyo Ngwilizi ni kama hajitambui wala hajui anasimamia nini. Ukisoma kwa nakini utagundua ameshikiwa akili, sijui mara serikali 2 oh mara 3, kwa kifupi hasomeki.

Hatudai tanganyika au serikali 3 kwa ajili ya kugawana madaraka au lah! hapana. Tunadai Tanganyika na serikali tatu ili kunusuru na kuboresha tunu yetu pekee tunayojivunia ambayo ni Muungano.

Tunaidai Tanganyika na Serikali 3 ili kuharakisha maendeleo yenye kujali siasa safi, uongozi imara, amani na udugu wa kweli kati ya bara na visiwani.

Ktk hili CHADEMA ndio chama pekee yenye sera mujarabu kabisa kutufikisha ktk nchi ya ahadi

Liked!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom