mtanganyika asilia
Member
- Aug 27, 2014
- 15
- 5
Wadau nimemsikia mzee Ngwilizi akisema wao wameamua zibaki serikali mbili ila wajue wenzetu wanajichagulia serekali na wanamambo yao wamekua wakitubagua hadharani na kutuchagulia raisi kamwe haitovumilika kuona eti chetu chao wakati chao ni chao!muda wa kuidai nchi mojaunakuja au Tanganyika irudi ili heshima ya sawa kwa sawa pande zote za nchi yetu!mwenyekiti aliongea wao wametekeleza ila Watanganyika na ubaguzi wa waunguja na wapemba sijui kama tutafika salama!Nashauri katiba ya Zanzibar irekebishwe LA sivyo tujiandae kuandika katiba mpya baada ya huu uozo kupitishwa na mwenyekiti wa CCM!nawasilisha