Nashukuru kwa ushauri...utafanyiwa kaziPole sana dada,inaonekana huyo mumeo anshindwa kufanya uamuzi mgumu wa kumweleza huyo ex-wake juu ya kuheshimu ndoa yenu,pia huyo dada hana adabu,kwani kutembea na mume wa mtu ndo atoe siri,ina maana hata angekuwa na mume wake angekuwa anaanika yale yote wanayoyafanya kwenye mitandao?kwenye mitandao watu tunasaidiana tu kwa mawazo lkn huwezi anika siri za kitandani kwako kama wewe ni mtu una akili timamu.huyo mumeo angekuwa na akili nzuri leo leo angempiga chini kwani ipo siku atamdhalilisha kwa kumtoa picha za uchi ambazo atakuwa amempiga kwa kujua au kutokujua,kwani hapo anatembea na zuzu.
Wewe mpiganie mumeo kwa Mungu kwa maombi na kufunga hasa kipindi hiki cha kwaresma naye atakujibu.
Mkuu nakukubali kwa ushauri wako na naamini uko sahihi,nakiri kuwa nitaplay my part as a married wife na daima kuwa upande wa mume wangu but i wont allow tena huyo EX aitese ndoa yangu,naamini ntachukua hatua yakinifu katika kulitatua hili tatizo....
Ndugu zanguni yamenikuta na naomba ushauri wenu,Mimi ninaishi na mume wangu yapata miaka miwili sasa,nina mpenda sana Mume wangu na ninaamini kuwa naye ananipenda pia.Ila kuna tatizo linanisumbua sana juu yake ambalo linanipa wasiwasi kiasi kwamba nashindwa kuelewa hatma ya mahusiano yetu ya ndoa kwa maana ya kwamba nahofia yasije yakaingia shubiri na ile imani nlionayo juu yake ikateteleka.Ni hivi kabla ya kunioa mimi aliwahi kuwa na mahusiano na wanawake wengine ila mwanamke wa mwisho ambaye aliachana nae amekua akiendelea kuwasiliana na mume wangu na kila ninapohoji juu ya hilo Mume wangu hunijibu kuwa hauna kitu kinachoendelea baina yetu ni rafiki yangu tu wakawaida na hana shida yoyote na sisi kwanza huwa anapiga simu na kutuma meseji za kutujulia hali,anyways nimejitahidi sana kuwa na mtizamo chanya na kuuambia moyo wangu uamini hivyo.Ila siku zinavyokwenda nikaona mazoea yanakua sio mazuri kwa maana wakati mwingine humpigia simu ana hutuma meseji humueleza mume wangu kuwa amemmiss sana na anataka kuonana nae na vitu kama hivyo.Nlimwambia mume wangu mawasiliano na huyo mpenzi wako wa zamani hayanibariki hata kidogo naomba uwe na mipaka na ikibidi uache kwa maana yananiumiza mimi zaidi,aliniahidi kufanya hivyo na kweli kwa kipindi fulani kazi ilipungua ila sasa leo ametuma tweets kuhusu mume wangu kwenye mtandao wa twitter kitu ambacho kimeniuma maana anaeleza jinsi anavyofurahia tendo la ndoa na mume wangu na baada ya kuliona hilo nkampigia mume waqngu kumweleza akaniambia atampigia simu kumsema juu ya hilo na kumuonya.Badala yake kilichotokea yule mwanamke alituma tweets za kunitukana na kunidhalilisha mimi kitu ambacho kinaniuma sana kwa maana mume wangu anasema yule mwanamke ni rafiki mzuri tu na hana shida hata kidogo.Nisaidieni ushauri ndugu zangu je niendelee kuvumilia hayo yote yanayojitokeza na kuamini maneno ya mume wangu kuwa huyo mwanamke hana shida na sisi ama nifanyenye?Naomba ushauri wenu katika hili.....
asante kwa ushauri najitahidi kuvumilia ila roho inaniuma sana
hata mimi x wangu ni rafiki yangu saaanaaaa........
mwanzo hakuamini kama sitaweza kumpa kitu baadae kakubali matokeo, maana nilimwambia kabisa siwezi kwenda beyond stories...... kama anataka zaidi ni bora tusiwasiliane kabisaaaa, kila mtu aishi kwa amani nyumbani kwake. akiangalia hawezi kunipoteza, maana namsaidia sana kwa maushauri na kila kitu..... in fact hata kwenye kuijenga ndoa yake ambayo ilikuwa inayumba mara kadhaa...... tumebaki kuwa marafiki na hakuna feelings zozote (to me)
ha ha haaa, Kaizer naogopa sana kuusemea moyo, nisije nikajisemea hatuna mafeelings kumbe mwenzangu anakufa kiume, lol! ninachoshukuru tu anakubaliana na rules & regulations zangu..... mengine hayanihusuWalau, @fp
Mwenye maskio na asikie, ukubwa dawa swahiba!.....Kamanda TIMING big up sana kwa kuliona hili. Huyo ex- g'friend mpaka ana tweet mambo ya chumbani inajionyesha yupo desparate 'kuichokonoa' ndoa ya huyu mdada.
......mwanaume 'ustaarabu' wake kwenye case hii unaweza kumponza. Anayumbishwa na mkewe hapa!
......dada mwenye thread hii, hebu nawe uwe na busara.Unapomshinikiza mumeo amkanye ex wake, hujui unamsukumia upande ule pia?
Unachokozwa nawe unachokozeka? badala ya kuimarisha nyumba yako weye unaibomoa. Mumeo kakuchagua wewe na anataka utulivu bana.... Msaidie mumeo kwa kumuonyesha hajakosea kukuoa na hubabaishwi na huyo 'reject!'
Amina mpendwa ama hakika nitaweka maombi maalumu juu ya hii changamoto nliyonayo na kutoa sadaka kwa bidii na nina amini Mungu atakutana na haja ya moyo wangu hata katika kipindi hiki cha kwaresma...sina budi kumshukuru Mungu kwa kila jambo na kupiga moyo konde na kusonga mbele nikishika silaha za upendo,kusamehe na kuzidisha ibada kwa mwenyezi MunguHuwa narefer story yako kila ninapokumbana na issue kama hizi; and l think, ilikutokea hiyo ili uweze kuwasaidia wengine wenye shida za namna hiyo.
Basi once again, nakuomba; nenda naye another stage further, akupe contacts zake uendelee kumjenga zaidi (simu etc). She seems to be somewhat naive and too nice (jinsi hata anavyojibu post "......nimekuelewa nitafanyiakazi...." sort of majibu) so she need a strong woman like you to mentor her.
ha ha haaa, Kaizer naogopa sana kuusemea moyo, nisije nikajisemea hatuna mafeelings kumbe mwenzangu anakufa kiume, lol! ninachoshukuru tu anakubaliana na rules & regulations zangu..... mengine hayanihusu
true_diva,Amina mpendwa ama hakika nitaweka maombi maalumu juu ya hii changamoto nliyonayo na kutoa sadaka kwa bidii na nina amini Mungu atakutana na haja ya moyo wangu hata katika kipindi hiki cha kwaresma...sina budi kumshukuru Mungu kwa kila jambo na kupiga moyo konde na kusonga mbele nikishika silaha za upendo,kusamehe na kuzidisha ibada kwa mwenyezi Mungu
nalijua hilo Kaizer ndo maana sikutaka kumsemea.....yeah @FP, thats why I was happy kuwa you were careful not to generalize. See, quite a number of relationships end in such a way that one side is still wanting.....and thats made even worse when you have regular communications, in a belief that there is 'no more chemistry'.....and alas, one side is burning inside lol!