Kweli napendwa!

Nimegundua unampenda sana mkeo
Tena sana coz unajua ni mvumilivu harafu ananiheshimu sana, harafu akisikia mwanamke mwenzake malaya anamchukia mpaka basi.Na akisikia mwanamke mwenzake kamkimbia mume sababu ya maisha magumu anasikitika sana.Halafu ukoo wao umebarikiwa maana wanawake 95% wanazeeka na waume zao
 
Sahau apangalo mungu wewe hutoliweza
Ndiyo ngao yako hiyo kujitetea? Ulikuwepo wakati mungu anapanga? Acha kusingizia mungu/miungu hii ni result ya tamaduni mufilisi wala halipo spiritually. Baada ya miaka kadhaa wanaume hatutokuwa tena na sauti juu ya hii suala kuona wanawake wengi kadiri tunavyotaka. Tunawanyanyasa wanawake kwasababu hawapo huru financially
 
Ha ha ha ha ha unaona donge coz kila siku unakula MAKOMBO, nimegundua huju JF wengi mmegongewa ndio maana mnaona utoto halafu nadanganywa
Ila mkuu hii thread yako na haya majigambo yanaelekea kufanana na mkuu fulani humu anaitwa 'side buggati'(vile vile yani)

Sijamuona wiki nne izi

Alafu mkuu usimuamini mwanamke kiasi iko(kuwaambia wenzako wanakula makombo). . .ni ushauri tu,,,take it or leave it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…