Kweli napendwa!

watu tumebikiri hao madem mwisho wa siku katiwa mimba na mtu mwingine
Jidanganye hivyo hivyo kuna familia zimebarikiwa, nina shemeji zangu tisa wote wanazeeka na waume zao wakati waume zao maisha magumu mpaka mi najiuliza wanapewa nini mpaka anavumilia kiasi hicho?
 
Kumbe hujui kitu kuhusu wanawake...

kwani mkiishi hivyo ndo unapendwa sana?
au yeye ana ma sp
onsor wake 'wanajazia' pale
unaposhindwa?
Tatizo lako umeshazoea wale wanawake unapiga mruzi tu akigeuka unamkonyeza basi umeshaliza,kesho kutwa unaenda kugonga.Pole sana kaka maana umeshagongewa sana mpaka umekua sugu
 
Mwanamke anaweza kushika mimba za wanaume wa 4 kwa mpigo??? kama inawezekana sawa
 
Hii polygamy wanawake huwa hawaipenda ila basi kulingana na imani fulan lkn moyoni huwa wanaikubali kwa shingo upande.

Kiukweli mm wake wawili hapana. 1 tu ananitosha hata km nikipew bure siwezi kuoa wake wawili.
Hivi kabla ya hii imani babu zetu walikua wanajimilikisha wangapi vilee???
 
Hongera sana kwa kuwa na mwanamke bomba anaekupenda, wengine tunatamani aisee!
 
Daaaah we jamaa noma...omba tu mungu lakin
Nina mwaka wa sita na unaelekea mwaka wa saba mwakani inshaalah.Ndoa yetu ina miaka miwili lakini maisha ya uchumba tumeishi miaka minne.Mi noma namchunguza mwanamke mpaka jinsi anavyopiga chafya,halafu ndio kwanza nini miaka 30 kamili
 
Mwanamke anaweza kushika mimba za wanaume wa 4 kwa mpigo??? kama inawezekana sawa
Hapo ndiyo unadhani umefikiria sawasawa? Kwani haiwezekani mwanamke akapata watoto kwa wanaume wote wanne kwa wakati tofauti? Usikariri angalia mambo logically
 
Hivi kabla ya hii imani babu zetu walikua wanajimilikisha wangapi vilee???
Hata kumi kulingana na uwezo wake. Sasa hiv tupo 2016 kwa hiyo mambo yamebadilika.
Enzi zile za mababu zetu hata jamii forum haikuwepo hata hiyo smartphone unayoimiliki walikuwa hawategemei km kutakuwepo na simu zz kushika kwenye kioo

mm hapana. Mke 1 tu ananitosha sbb ndiyi uwezo wangu unaruhusu na nitaishi naye kwa amani.
Walio oa wake wengi walipata faida gani mbali na watoto?
 
Pamoja na kwamba anakupenda sana, maana yake nyingine ni kwamba haipendi dini yako inayoagiza kuoa mitala!
 
Hapo ndiyo unadhani umefikiria sawasawa? Kwani haiwezekani mwanamke akapata watoto kwa wanaume wote wanne kwa wakati tofauti? Usikariri angalia mambo logically
Ha ha haaaa itabidi usubili myaka ya kulea nawee ukaweke yako kwa mwanaume hata kwa usiku 1 tu unatosha kwa wote 4 ndo hekima ya mume 1 wake wengi
 
Nimegundua unampenda sana mkeo
 
Ha ha haaaa itabidi usubili myaka ya kulea nawee ukaweke yako kwa mwanaume hata kwa usiku 1 tu unatosha kwa wote 4 ndo hekima ya mume 1 wake wengi
Hakuna hekima hapo. Ukweli ni rahisi tu....tamaduni zinazodidimiza wanawake mbele ya wanaume lengo lake ni kufurahisha MFUME DUME. Sisi wanaume tunaumizwa na ubinafsi ndiyo maana tunaona chochote kinachomnyanyua mwanamke ni hatari kwenye masilahi yetu. Jambo zuri ni kwamba wanawake wanainuka, sasa hivi wanapinga waziwazi tu huo ujinga wa polygamy eti mwanaume aoe tu hata wanawake 10 mwanamke akiamua kuwa nawanaume zaidi ya mmoja inaonekana ushetani. Hii tamaduni haitapita muda mrefu itavunjwavunjwa kadiri wanawake wanavyokuwa huru financially
 
Akili za DDC izo
 
Sahau apangalo mungu wewe hutoliweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…