Kuna hili swala la kusema Mungu kashatupangia kesho yetu ipoje pia anajua wewe utafanya nini kesho kwa mantiki hiyo, Mungu ni muweza wa yote hata sisi atheist kashapanga tusikubali uwepo wake kama hajapanga na hivi tunafanyavyo tunajiamulia, basi tumtoe katika kundi la mpangaji wa yote. Hii ina maana hajui kesho yangu.
Naeleweka hivi!
Doyi karibu katika uhuru jikomboe na utumwa wa kidini ambao una hasara zaidi kuliko faida....Jinasueeee
​bora niamini kuwa Mungu yupo
Kuna hili swala la kusema Mungu kashatupangia kesho yetu ipoje pia anajua wewe utafanya nini kesho kwa mantiki hiyo, Mungu ni muweza wa yote hata sisi atheist kashapanga tusikubali uwepo wake kama hajapanga na hivi tunafanyavyo tunajiamulia, basi tumtoe katika kundi la mpangaji wa yote. Hii ina maana hajui kesho yangu.
Naeleweka hivi!
Yeye nae katokea wapi...who created God if the universe Doesn't create itself?asante jirani ila huko nyumba ya pili sitii maguu kamwe...mana hata akili ya kawaida tu ya uwezo wa chini ya kufikiri haikubali kumkataa mungu..huu ulimwengu jinsi ulivoumbwa complex hivi burebure tu..mambo mengi ya ajabu na maarifa ya hali ya juu yamepangiliwa kiufundi hayawezekaniki kukosa aliyeumba na kuyaratibu.nikienda chumbani kwangu nikakuta kuna gunia la mkaa kitandani lazima nishtuke kuwa kuna aliyeliweka..akitokea mtu akasema hakika hilo gunia limetokea tu from nature nitamwona punguani...hvyo hvyo kwa ulimwengu na vilivyomo kuna muumbaji lazima.naamini nina moyo na unasukuma damu japo sijawahi kuuona,naamini dunia ni umbo kama la tufe na inalizunguka jua japo sijafanya safari ya kwenda nje ya dunia kushuhudia hayo.daktari akiniambia nina vidudu vya maleria kaona yeye kwenye darubini yake naamini kabisaa na ananipa dawa napona..sasa kwa mambo madogo hivi nayaamini kwa nini la mungu nilikatae eti kwa kuwa simuoni?? ethiests mna tumia akil ndogo sana kumkana Mungu..jirani toka huko uliopo njoo uishi upande huu
​Dewj si Freemason....utajiri kautoa kwa shetaniMuombe akupe utajiri kama Dewji
Yeye nae katokea wapi...who created God if the universe Doesn't create itself?
asante jirani ila huko nyumba ya pili sitii maguu kamwe...mana hata akili ya kawaida tu ya uwezo wa chini ya kufikiri haikubali kumkataa mungu..huu ulimwengu jinsi ulivoumbwa complex hivi burebure tu..mambo mengi ya ajabu na maarifa ya hali ya juu yamepangiliwa kiufundi hayawezekaniki kukosa aliyeumba na kuyaratibu.nikienda chumbani kwangu nikakuta kuna gunia la mkaa kitandani lazima nishtuke kuwa kuna aliyeliweka..akitokea mtu akasema hakika hilo gunia limetokea tu from nature nitamwona punguani...hvyo hvyo kwa ulimwengu na vilivyomo kuna muumbaji lazima.naamini nina moyo na unasukuma damu japo sijawahi kuuona,naamini dunia ni umbo kama la tufe na inalizunguka jua japo sijafanya safari ya kwenda nje ya dunia kushuhudia hayo.daktari akiniambia nina vidudu vya maleria kaona yeye kwenye darubini yake naamini kabisaa na ananipa dawa napona..sasa kwa mambo madogo hivi nayaamini kwa nini la mungu nilikatae eti kwa kuwa simuoni?? ethiests mna tumia akil ndogo sana kumkana Mungu..jirani toka huko uliopo njoo uishi upande huu
Kazi kweli kweli
Nikuwaga nasimuliwa kuna watu hawaamini uwepo wa Mungu... lakini sasa najionea mwenyewe.
Believing God's existance is also a grace