Kweli Mungu anahukumu kwa haki...

Kweli Mungu anahukumu kwa haki...

Elba

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
382
Reaction score
104
Jamaa mmoja alimpenda sana mke wake. siku moja mkewe akapata ujauzito ktk mazingira ya kutatanisha. siku ya kujifungua, jamaa akaangalia yule mtt, akathibitisha kweli C wake.

Uamuzi aliofikia, ni kukaua kale katoto! Usiku wakati mkewe kalala, akapaka sumu kwenye matiti ya mkewe.

Akiwa kazini kesho yake, ikapigiwa simu kupewa taarifa za msiba nyumbani kwake, hakuwa na wasiwasi akijua adhma yake imetimia. Aliporud hom akakuta Houseboy wake kafa, katoto kazimaaa!!
 
Heheee! Uwiii! Kwa hiyo houseboy kanyonya.
 
Shombo..nasty thing..bora kuwa na house girl
 
Jamaa kafaulu dizain coz next time anakamaliza katoto mchezo unakua umekwisha sababu house boy angebaki labda kangekuja katoto kengine ambako sio kake.
 
Inaonakena alivotoa mguu tu, housboy akawa wa akazama ndani! Hahah...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom