Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,468
- 14,620
Wanawake wenye watoto watamu sanaMimi Mwanamke hata awe mzuri kiasi gani lakini akishakuwa Mzazi tu basi mizuka yote inapotea
Kama ukiluwepo mkuu, hawa jamaa huku wanaishi dunia yao. Hata kutuweka dunia ya watu ni karibu sana, tupo mbali sana! Noma sanaKama umezoea kula bata za majuu
Bongo ni kijijini tu lazima pakuboe
Vitu vingi havipatikani
Nasikia mrembo alitaka wakaishi Amerika
Ndiyo wakashindwana bongo hapaelewi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hasa ukikuta mtoto si wa kwako.Wanawake wenye watoto watamu sana
Tatizo tako mzee, mimi mwenyewe mwanamke asiye na tako hata aweje atanisamehe tu siwezi kupitia tohara kwa maumivu halafu nitoke na asiye na tako
Aisee 🤣😄Hivi mrembo kama huyu unamuachaje halafu unaenda kwa yule daaah kweli nimeamini mapenzi huwa hayana definition.
Daaah sijui huyu mwanamama kjl alimpa nini Yule mmakonde
Kwangu mimi mpaka leo bado sijamuelewa akili ya mmakonde
Ukishakua utamuelewa vizuri shekhe konde boy 🤣Hivi mrembo kama huyu unamuachaje halafu unaenda kwa yule daaah kweli nimeamini mapenzi huwa hayana definition.
Daaah sijui huyu mwanamama kjl alimpa nini Yule mmakonde
Kwangu mimi mpaka leo bado sijamuelewa akili ya mmakonde
Kumiliki mzungu sio sawa na kuwa na Kajala ndg yangu.Hivi mrembo kama huyu unamuachaje halafu unaenda kwa yule daaah kweli nimeamini mapenzi huwa hayana definition.
Daaah sijui huyu mwanamama kjl alimpa nini Yule mmakonde
Kwangu mimi mpaka leo bado sijamuelewa akili ya mmakonde
AntonniaKumiliki mzungu sio sawa na kuwa na Kajala ndg yangu.
Watanzania tuna mfumo dume lkn sio hao wazungu.
Ukioa mzungu wewe unageuka yaya tu.
Mwanamke wa kizungu mtamani kwenye tv tu lakini kuishi naye ni msalaba mzito sana.
Nimechangamana na hawa viumbe zaidi ya miaka 12, 24hrs/7 mfululizo..
Life style yao mbongo mwenye utimamu huwezi kamwe kuoa mzungu.
Dada zetu wa kibongo pamoja na madhaifu yao wanafaa sana tena.
Antonnia