Kweli mapenzi upofu, daaah

big dreamer

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
401
Reaction score
1,089
Hivi mrembo kama huyu unamuachaje halafu unaenda kwa yule daaah kweli nimeamini mapenzi huwa hayana definition.


Daaah sijui huyu mwanamama kjl alimpa nini Yule mmakonde



Kwangu mimi mpaka leo bado sijamuelewa akili ya mmakonde
 
Kawaida sana hiyo, we unateseka na picha na wala hujui kama yaliyomo yamo….. tembo keshawala wote ana haki ya kutofautisha.
 
Shakira tu na mauno yake kama feni jamaa kaona isiwe tabu. Kwahiyo mjomba Achumani siri anayo yeye mwenyewe.
 
Tatizo tako mzee, mimi mwenyewe mwanamke asiye na tako hata aweje atanisamehe tu siwezi kupitia tohara kwa maumivu halafu nitoke na asiye na tako
 


Mwenye Kupenda Haoni Chongo Huita Kengeza

 
Pengine mzungu nae alitaka kujifanya mwanaume
 
Kama umezoea kula bata za majuu
Bongo ni kijijini tu lazima pakuboe
Vitu vingi havipatikani
Nasikia mrembo alitaka wakaishi Amerika
Ndiyo wakashindwana bongo hapaelewi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Utakuta ni kitu kidogo tu kimempagawisha Mmakonde. Pengine miguno tu kwenye kwichikwichi.....hahahahaha.,...
 
Mimi Mwanamke hata awe mzuri kiasi gani lakini akishakuwa Mzazi tu basi mizuka yote inapotea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…