Kweli kuna mkakati mbaya, Kwanini hawataki?

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,949
Reaction score
74,431
Naam maneno haya kwa wenye akili wataona jambo. Mbona ni kama kuna mkakati wa kumlundikia safari Rais hata asipate muda wa kutosha kukaa ofisini na kujadili issues deeply na wataalamu au kusikia hoja nzito katika utulivu?

Mafisadi wako kazini na wameishika nchi wafanyacho ni kuongeza sifa na mbwembwe.

Msikilizeni Lema, hata kama hamumpendi lakini ni Mtanzania na maneno yake yanafaida.

Kwani huyu mama naye hajui wajibu wake kiasi cha yeye mwenyewe kutambua kuwa anahitaji muda wa. Kutosha kuwa hapa nchini ofisini kushughulikia mambo ya nchi....?

Je, ina maana kuwa yeye mwenyewe hana akili ya kuamua na pengine kujua kisha akasema hii safari SAWA na hii HAPANA haina ulazima wala umuhimu...?

Kama tuna Rais wa NDIYO tu kwa kila analopangiwa au kushauriwa na wanaomsaidia katika sekta na maeneo mbalimbali ya kiutawala, basi kumbe tuna BOYA tu pale na ndiyo maana mambo mengi ya nchi hii kwa sasa yako hovyo kuliko kipindi cha mzee baba katili - Mwendazake JPM...!

Na kama kweli yeye huyu mama ni mtu wa kupelekwa pelekwa tu kama vile gogo ama kitu kisicho na akili wala utashi, basi hii inathibitisha maneno ya wasemao TANZANIA HAINA RAIS KIONGOZI bali tuna PICHA YA MWANAMKE FULANI TU PALE IKULU ambaye yupo yupo tu...!!
 
Kuna tofauti kubwa ya kiutendaji hasa kuishughulisha bongo, kati ya Magufuli na Samia...

Magufuli alikuwa na uwezo wa kuuliza maswali ya udadisi ili kuujua ukweli, lakini kwa huyu mama, hana uwezo huo.

Ameegemeza sehemu kubwa ya akili yake kuwategemea wasaidizi wake, ambao nao kwa bahati nzuri au mbaya, wameshaujua udhaifu wake, hivyo wanautumia kufanya mambo yao kwa nafasi.
 
Ndugu yangu kwanza kumbuka kuwa hapo awali akili ya kila mtu kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais ilikuwa ni cheo Ceremonial, kwamba kazi yake kutembea na mkasi wa kuzindua mambo au kutumwa kumuwakilisha Rais mahali. Hakuna aliyepata kufikiri Rais anaweza kufia madarakani na huyo makamu kuwa Rais.
Hapo ndio KOSA LILIPO ANZIA.
Na kwa hulka ya kibinadamu sio rahisi likitokea lililotokea eti mtu akakataa kuwa hiyo nafasi hapana kwani siiwezi, tena ona sasa anazungumzia kipindi cha pili wakati hata miaka 2 bado ofisini na kipindi cha kuingia chee kimebaki miaka 3.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kuna tofauti kubwa ya kiutendaji hasa kuishughulisha bongo, kati ya Magufuli na Samia...

Magufuli alikuwa na uwezo wa kuuliza maswali ya udadisi ili kuujua ukweli, lakini kwa huyu mama, hana uwezo huo.

Ameegemeza sehemu kubwa ya akili yake kuwategemea wasaidizi wake, ambao nao kwa bahati nzuri au mbaya, wameshaujua udhaifu wake, hivyo wanautumia kufanya mambo yao kwa nafasi.
Na ndio wanapiga nduru sana kuwa 2025 ni yeye. Hizo kelele ukizisikiliza kwa makini hazitoki kwa wananchi bali zinatoka kwa watawala na wapambe tuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwani huyu mama naye hajui wajibu wake kiasi cha yeye mwenyewe kutambua kuwa anahitaji muda wa. Kutosha kuwa hapa nchini ofisini kushughulikia mambo ya nchi....?

Je, ina maana kuwa yeye mwenyewe hana akili ya kuamua na pengine kujua kisha akasema hii safari SAWA na hii HAPANA haina ulazima wala umuhimu...?

Kama tuna Rais wa NDIYO tu kwa kila analopangiwa au kushauriwa na wanaomsaidia katika sekta na maeneo mbalimbali ya kiutawala, basi kumbe tuna BOYA tu pale na ndiyo maana mambo mengi ya nchi hii kwa sasa yako hovyo kuliko kipindi cha mzee baba katili - Mwendazake JPM...!

Na kama kweli yeye huyu mama ni mtu wa kupelekwa pelekwa tu kama vile gogo ama kitu kisicho na akili wala utashi, basi hii inathibitisha maneno ya wasemao TANZANIA HAINA RAIS KIONGOZI bali tuna PICHA YA MWANAMKE FULANI TU PALE IKULU ambaye yupo yupo tu...!!
Ila kweli ukiangalia Rais hajawahi kukaa nchini wiki mbili
 
Na ndio wanapiga nduru sana kuwa 2025 ni yeye. Hizo kelele ukizisikiliza kwa makini hazitoki kwa wananchi bali zinatoka kwa watawala na wapambe tuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Yes, sababu wanaujua udhaifu wake na wanamfaidi kupitia huo, wanaogopa wasije kujaribu kumuweka mwingine aje kuwageuka kama JPM alivyowafanya, wakaishia kumchora mitandaoni kwa hasira.
 
Back
Top Bottom