Kweli kuhusu wadada wa kileo

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Kwanza niwatakie Jumamosi njema
''Bila hela ni vigumu kupata mrembo''

Hii ni kauli maarufu sana kipindi hiki lakini heri lee naipinga sababu nimefanya upelelezi wa miaka 6 nimegundua kuwa hawa wadada ni maneno ya kinywa chako tu utaweza kuishi nae kama mm hivyo jitahidi kijana uwe na lugha zuri japo utakataa lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…